Home
Unlabelled
kamera
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi jaribu kuwa unanunua nguo nzuri nzuri,ili uwe unavutia maana hii blog yako inaangaliwa na watu wengi sana ndani na nje ya nchi. Jitahidi kuwa unavaa nguo nzuri sio mashati ya ajabu ajabu.
ReplyDeleteMdau inabidi uwe mtundu tu kwa computer utajua kila picha imepigwa na camera gani. Baada ya Michuzi kujibu nimegundua ana best wake wanachukua picha pamoja. mfano, picha za kwenye shoo ya ma-modo ya Mustafa Hassanali kapiga na Canon EOS 5D, picha ya choo 'chake' kapiga na Canon DIGITAL IXUS 430, picha za 'ukerewe' nyingi ni Digimax A7/Kenox D7, na zile za maandamano ya wapinzani kuhusu 'rada' katumia Nikon D70s. All in all vyote vitu vikali. Mie nilichamka nikachukua SONY DSC 828
ReplyDeleteAngalua leo Michuzi umebadili shati...
ReplyDeleteile trademark yako umeiweka pembeni...
Hongera...
Michuzi, msalimie Kaka Charles George Kizigha hapo. Naona kasimama anaangalia camera yako. Great investigative reporter huyo bongo nzima.
ReplyDeleteBabu naona na sharti lako la chui....ulimuulia wapi? Kibali unacho cha hiyo ngozi?
ReplyDeleteWADAU TUPITISHENI MCHANGO WA KUMNUNULIA NGUO MICHUZI,HAKA KASHATI KABAYU!kaugwadu kama ka bungo yaani kana radha ya bungo kabisaaaaaaaa
ReplyDeleteMichuzi naona leo umetutingia kashati kako ka MCHUICHUI.....
ReplyDeleteKamepaukaaaa!!!!!........
MICHUZI MIMI NDIYE MDAU. KWELI MZEE UKO 2-1 JUU. HIYO MARK II N NI CAMERA YA AROUND $4,000. INABIDI KAZI YAKO IWE BOMBA HASA. UNAWEZA TUONYESHA PICHA ZA HIYO CAMERA HUMU TUZITHAMINISHE?
ReplyDeleteMichuzi babaake naona umelamba shati la chui chui hapa unanikumbusha Mobutu na kikofia chake cha chui.
ReplyDeletewe michuzi, mbona story ya Mahalu umeipeleka kusikojulikana!
ReplyDeleteni Juu ya nini?????
Shati la CHUICHUI? Noma Michuzi.
ReplyDelete