huna haja kwenda dubai ama japani kupata ndinga kama hili na mengine. bofya hapa upate solusheni ya chap chap. bei maelewano...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. michanga ya macho !! ... kama wao namimi ntaenda kununua walikonunua wao nisave $$$. anyway asante kwa hili, itasaidia kwa watu waliobanwa.

    ReplyDelete
  2. Michuzi, waambie jamaa wawe wanaweka na price ya hayo magari. hiyo ndiyo biashara ya kisasa, waache ubabaishaji!!

    ReplyDelete
  3. An old mercedes benz probaly 1994 to 1996 make .good runner. check the millage chances are,they are tampered .good runner .worth probably $5000 .

    ReplyDelete
  4. Dubai wanauza scrap

    ReplyDelete
  5. Michuzi also naomba uweke website wanazouza nyumba bongo, some kind of real estate site.

    Natanguliza shukrani.

    ReplyDelete
  6. michuzi,ka benz ka zamani hako sasa hivi kuna macho ya panzi.

    ReplyDelete
  7. FACT!!
    Michuzi benz za leo 2007 hakuna mtanzania anaye weza kununua labda hizo fake za Sauzi. Hapa mtoni benz mpya za 2007 like S 650 zinauzwa up to $200,500.00 kalibu millioni 300 za shillingi ya kitanzania kumbe hayo magari mengi ni mchoko. Ni aibu sana hata kuweka hii Picha ya hiyo Benz na kusema mambo yako bongo. bado tuko nyuma sana kaka michuzi. Nani anaendesha Bentley, Lamboghin, Spider, Vapers bongo? hakuna sasa kaa kimya hayo magari mliyo post niya maskini tu na wanawaibia Watanzania kwani bei yake ni ndogo sana ukiangalia kwenye book value.na si ajabu odometer imebadilishwa. Maskini mtanzania amuka saa ya ukombozi ni sasa, mnaibiwa sana!

    ReplyDelete
  8. We anony hapo juu acha ushamba,unadhani michuzi hajui kama ni gari ya zamani?Anafahamu vema ila ameweka kwa kuwajulisha mtu atakayependezewa.Wewe unachojua ni macho ya panzi tu wakati macho ya panzi ni model ya 1998-2002,ya zamani pia nayo,siku hizi kuna mpya we mtoto tulia na umwache michuzi atupe mambo

    ReplyDelete
  9. Point anony hapo juu wengi tunatafuta kununua nyumba bongo anywhere mikoani sio lazima dar, tuwekee utakua umefanya la maana sana. Thanks in advance Aurely

    ReplyDelete
  10. Jamani kama mnatafuta nyumba za kununua mnataka Michuzi ndiyo awanunulie?? tafuteni website za watu wanaofanya shughuli za real estate bongo mtaweza kununua nyumba mnazotaka lakini bei ya nyumba siyo peanut kama mnavyoweza kufikiria! mnatakiwa mjikunje na pesa zenu za maboksi!

    ReplyDelete
  11. kwakweli anony hapo juu umelonga jambo la busara ikiwezekana na nyumba za kupanga just simple kwa mabachela itakuwa bombaa zaidi big up comrad.

    ReplyDelete
  12. NI KWELI KABISA, DUBAI SIKUHIZI KUNUNUA MAGARI, HAPAFAI, SASA NI VYEMA KAMA KUNA OFISI AU CAR SHOW ROOM KAMA HIZI,
    SWALI: JE HAPO NDIO KWA CHARLES MTAWALI? ALIYETANGAZWA NA WANA-NGWASUMA KUWA YEYE NI MZEE WA MAGARI, BENI MULOKOZI NI MZEE WA MANYUMBA NA SAMUELI MABIBA MZEE WA VISIMA VYA MAFUTA.
    NAOMBA UTUFAHAMISHE MAANA TUNASIKIA CHARLES MTAWALI ANAMILIKI SEHEMU YA KUUZA MAGARI POA SANA. ILI TUKIFIKA TOKA MAREKANI TUMTAFUTE TUMECHOKA NA KUKODISHA MAGARI KILIMANJARO HOTEL KILA TULIPOKUWA TUNAKUJA MIAKA ILIYOPITA.
    SHUKRANI.

    ReplyDelete
  13. We anony hapo juu acha wivu tukinunua nyumba na pesa za mabox zitaandikwa hapo nje .."eti nyumba hii imenunuliwa kwa pesa za mabox?" baki hapo hapo sisi tunasonga mbele!

    ReplyDelete
  14. Watu wengine wana mambo ya kithenge sana. I just asked Michuzi if he can post websites za madalali wauza nyumba. Sijaomba aninunulie nyumba, besides hata kama hela ni za mabox. Tatizo lako nini kaka?

    ReplyDelete
  15. NDIO CHALE MTAWALI ANAUZA MAGARI SAFI SANA, HATA KINA PETER RUPIA NA MAMA YAKE ROSE RUPIA WAMENUNUA MAGARI YAO KWA CHALE MTAWALI.
    NAOMBA UZIDI KUMTANGAZA MHESHIMIWA MICHUZI KWANI WANA NGWASUMA HAWAKUKOSEA, ANAKAMPUNI YA MAGARI POA SANA. DUBAI CHOO SIKU HIZI. BONGO KUNA MAENDELEO. GO BOY GO BOY CHALE MTAWALI OYEEE,
    BENI MULOKOZI YEYE NI DALALI WA MANYUMBA, NA SAMUELI MABIBA BWANA VISIMA VYA MAFUTA VYOTE NI VYA BABA YAKE, MZEE MABIBA, ASITAFUTE UJIKO HAPA NDIO ANAVYOWAOPO WATOTO KWA KUTAMBA KUWA VISIMA VYA MAFUTA VYOTE, MAHOTELI YOTE, NA KAMPUNI NZIMA YA J.M MABIBA LIMITED, NI YAKE. WADAU SIO TAJIRI HUYU, TAJIRI NI BABA YAKE. NA MDOGO WAKE SAMUEL NDIO KAOLEWA NA BENI MULOKOZI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...