kuna mdau kauliza natumia kamera gani. naomba kumjibu kwamba nina canon eos 5 d na eos-1D mark II N kama uonavyo...kama bao ni 2-1 au vipi mshikaji?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Michuzi jaribu kuwa unanunua nguo nzuri nzuri,ili uwe unavutia maana hii blog yako inaangaliwa na watu wengi sana ndani na nje ya nchi. Jitahidi kuwa unavaa nguo nzuri sio mashati ya ajabu ajabu.

    ReplyDelete
  2. Mdau inabidi uwe mtundu tu kwa computer utajua kila picha imepigwa na camera gani. Baada ya Michuzi kujibu nimegundua ana best wake wanachukua picha pamoja. mfano, picha za kwenye shoo ya ma-modo ya Mustafa Hassanali kapiga na Canon EOS 5D, picha ya choo 'chake' kapiga na Canon DIGITAL IXUS 430, picha za 'ukerewe' nyingi ni Digimax A7/Kenox D7, na zile za maandamano ya wapinzani kuhusu 'rada' katumia Nikon D70s. All in all vyote vitu vikali. Mie nilichamka nikachukua SONY DSC 828

    ReplyDelete
  3. Angalua leo Michuzi umebadili shati...
    ile trademark yako umeiweka pembeni...

    Hongera...

    ReplyDelete
  4. Michuzi, msalimie Kaka Charles George Kizigha hapo. Naona kasimama anaangalia camera yako. Great investigative reporter huyo bongo nzima.

    ReplyDelete
  5. Babu naona na sharti lako la chui....ulimuulia wapi? Kibali unacho cha hiyo ngozi?

    ReplyDelete
  6. WADAU TUPITISHENI MCHANGO WA KUMNUNULIA NGUO MICHUZI,HAKA KASHATI KABAYU!kaugwadu kama ka bungo yaani kana radha ya bungo kabisaaaaaaaa

    ReplyDelete
  7. Michuzi naona leo umetutingia kashati kako ka MCHUICHUI.....

    Kamepaukaaaa!!!!!........

    ReplyDelete
  8. MICHUZI MIMI NDIYE MDAU. KWELI MZEE UKO 2-1 JUU. HIYO MARK II N NI CAMERA YA AROUND $4,000. INABIDI KAZI YAKO IWE BOMBA HASA. UNAWEZA TUONYESHA PICHA ZA HIYO CAMERA HUMU TUZITHAMINISHE?

    ReplyDelete
  9. Michuzi babaake naona umelamba shati la chui chui hapa unanikumbusha Mobutu na kikofia chake cha chui.

    ReplyDelete
  10. we michuzi, mbona story ya Mahalu umeipeleka kusikojulikana!

    ni Juu ya nini?????

    ReplyDelete
  11. Shati la CHUICHUI? Noma Michuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...