ben kisaka (mwenye kapelo) akishindana mbio za magunia leo kwenye bonanza la wanahabari la michezo koko bichi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. MICHUZI, mbona hakuna picha yoyote?

    ReplyDelete
  2. Bro sasa unatuyeyusha hakuna snap.

    ReplyDelete
  3. Misoup siku zingine unakuwa mhuni sana

    Hakuna picha halafu unasema mwenye Kapelo, au unataka tu imajini kichwani kuwa kuna mtu ana kapelo

    Kama unakuwa una wahi kwa mama naniiii si uache kutoa hiyo habari mpaka u settle.

    Acha uhuni bwana

    ReplyDelete
  4. Hiyo picha ni invisible, Michuzi pekee ndiyo anaiona, kwa sababu ana miwani spesha. Kwani nyie hamjui?

    ReplyDelete
  5. Michuzi mbona unatulaza njaa, lete vitu bwana na zanzibar si ulikuwepo huko mbona kimya sasa, au uko safarini kuja UK na Jk.

    ReplyDelete
  6. leta news za wabongo waliouliwa Malawi na madawa yao ya kulevya wakiwa njiani kwenda bongo wameuliwa 5

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...