mzee wa macharange (kicheko) na wadau ukerewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Chalesi Hilari Nkwanga mzee wa Afrikando.Hilo pozi lake kama la mzee wa standard na spidi!

    ReplyDelete
  2. mwenyewe alikuwa anasema usiniite chalesi,niite chaaaaazi!!ni mtangazaji mkali wa kabumbu.

    ReplyDelete
  3. chalesi nawe umeisha jipiga kibiriti? kwani we unakubalika kabisa kama wa Kigali.

    ReplyDelete
  4. "Tishio"...unatisha!!!
    Tuwasiliane!
    Much love!!

    ReplyDelete
  5. we saidi john, (wa-pili kulia) mbona hiyo sare ya CCM umeificha ndani ya shati? tumeiona bwana . Kama ulijua unaona aibu kwa nini uliivaa?

    ReplyDelete
  6. wewe said john huna mpango kabisa unayumbisha watu,kwanza mara wewe ccm mara umejitoa au wewe ni mrundi nini?amua moja bruv usihangaike na maisha,toka lini ccm ikawepo london?hao wengine nao wanabaingaiza njaa tu hawana lolote.

    ReplyDelete
  7. Lupatu , mtoto karidhi macho!!! Hongera!

    ReplyDelete
  8. Lupatu, mtoto umemrithisha macho...Hongera!

    ReplyDelete
  9. Baab Kubwa!
    Mzee wa Charanga tuwasiliane, japo ulinikimbia kule zenj!

    ReplyDelete
  10. Yote tisa lakini hebu Mzee wa Macharanga tueleze hiyo stail ya uvaaji wa hizo nguo umeitoa wapi????Flana ya mistari, Koti kubwa lililokaa kiaina,Kodrai!!!! Duh hiyo kali kaka, labda Stail hiyo umeipata CUBA nini????? na Mzee anaumwa huko!!!! Pole sana

    ReplyDelete
  11. Duh! Jose kaachiwa na polisi? Leo alimsevu. tapeli huyu, lakini umependeza hapo na suti yako. poa

    ReplyDelete
  12. Said John hawezi rudi bongo maana akirudi tu UK ndio kaisahau....hana karatasi..eti CCM YA LONDON sasa mkitakiwa kwenda kwenye vikao bongo utarudije UK?Mwenzako Charles ana paper tayari...Mzee John wa Madina Snack Restaurant alikufa ulishindwa hata kwenda..Noma!!!Babu hukui?

    ReplyDelete
  13. Weeeh Mzee wa Macharanga hauna msimamo au mambo yanakuwia magumu mara uko Radio DW mara BBC sasa tukuelewe vipi ??? Kwanini usitulie kama mwenzio Tido Mhando ?? Ona mwenzio katulia pale BBC mpaka Mheshimiwa Kikwete kamuona anafaaa mpaka kampa ukuu wa TUT (Taasisi ya Utangazaji Tanganyika). Nawe unatakiwa utulie sehemu moja labda nawe waweza kukumbukwa kama walivyokumbukwa wenzio akina Betty Mkwasa na watu uliokuwa unafanya nao kazi akina Sarah Dumba, Halima Kiemba n.k. Sasa wewe utaishia kuwaomba lifti tu punde urudipo huku kuwaona wazazi, ndugu na jamaa !!!!!! ACHA HIZO TULIA SEHEMU MOJA BW. CHAAAAAAAAZZZZZZ HILARY !!!! YANATOSHA HAYO KUKUFANYA UJIREKEBISHE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...