Home
Unlabelled
meya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
We uliyeko katikati na suti na shati la light blue ndani upo?namaanisha wewe MAGONO MABU.
ReplyDeletenaoma pale Mzee wa Macharanga..Kaivaa..mambo si mabaya!
ReplyDeleteMeya gani mchovu..amechokaaaaaaa
ReplyDeleteNdugu yangu yangu Mbeyu nicheki basi naona mambo siyo mabaya
ReplyDeleteahaaa mzee wa hiziiiii nazoooo kaiva bwana, duh inaonekana IPP walikuwa wanakulisha ugali na sukari....ukirudi bongo unaukwaa u-director RTD, kwani akina Afsa mosi, kalenga ramadhani na Tido mhando wako wapi? MICHUZI HUSICHEZE NA KIWANJA BABAKE ahaaaaa......
ReplyDeleteHivi ukerewe ni London? Michuzi unatuacha mbali sana sometimes. Manake ukisema mayor wa Ukerewe inamaana mayor wa London??? Namtafuta Mayor Ken Livingstone kwenye picha simuoni au huyu ni ni mayor wa watanzania????
ReplyDeleteHicho kijamaa mbona kimekomaaa sana na jaziba usoni.Mayor gani tena huyo labda wa MABOX CITY.
ReplyDeleteNamuona mzee Said John hapo naona katuliza ngono sasahivi
ReplyDeleteCharles kaiva kwelikweli,lakini kwani nini asiive wakati ulaya kitimoto ndiyo mahali pake?haapa nyumbani kitimotos ilikuwa inamkoma huko siyo ndiyo balaaaa,but i wish best of luck najua siku moja na wewe utakuja kumrithi SOLOMONI kwenye hicho kiti cha enzi hapo BBC.
ReplyDeleteSaid John unatakiwa uje ulipe madeni ya watu hapa BONGO !! Mara tulikuwa tunasikia huko BRAZIL tukaona huko ni mbali na hatuwezi kukufuatilia LAKINI maadam tumeishajua kuwa uko hapo LONDON basi iko siku utasikia tunatia TIMU hapo ili uweze kulipa madeni ya ndugu zetu ambao uwezo wao wa kukufuatilia wewe ni mdogo. kama hutaki makuu basi jitahidi kutuma hizo pesa unazodaiwa !!!! Jitahidi basi mshirika kabla HATUJAINGIZA timu !!!
ReplyDeletekhaa! huyo jamaa Lupatu (Pompy) macho makubwa utafikiri yanataka kudondoka! Lakini yanamvuto zaidi akiwa kwenye suala zima la uwanja wa fundi seremala
ReplyDelete