meya wa ukerewe (pili shoto) na wadau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. We uliyeko katikati na suti na shati la light blue ndani upo?namaanisha wewe MAGONO MABU.

    ReplyDelete
  2. naoma pale Mzee wa Macharanga..Kaivaa..mambo si mabaya!

    ReplyDelete
  3. Meya gani mchovu..amechokaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. Ndugu yangu yangu Mbeyu nicheki basi naona mambo siyo mabaya

    ReplyDelete
  5. ahaaa mzee wa hiziiiii nazoooo kaiva bwana, duh inaonekana IPP walikuwa wanakulisha ugali na sukari....ukirudi bongo unaukwaa u-director RTD, kwani akina Afsa mosi, kalenga ramadhani na Tido mhando wako wapi? MICHUZI HUSICHEZE NA KIWANJA BABAKE ahaaaaa......

    ReplyDelete
  6. Hivi ukerewe ni London? Michuzi unatuacha mbali sana sometimes. Manake ukisema mayor wa Ukerewe inamaana mayor wa London??? Namtafuta Mayor Ken Livingstone kwenye picha simuoni au huyu ni ni mayor wa watanzania????

    ReplyDelete
  7. Hicho kijamaa mbona kimekomaaa sana na jaziba usoni.Mayor gani tena huyo labda wa MABOX CITY.

    ReplyDelete
  8. Namuona mzee Said John hapo naona katuliza ngono sasahivi

    ReplyDelete
  9. Charles kaiva kwelikweli,lakini kwani nini asiive wakati ulaya kitimoto ndiyo mahali pake?haapa nyumbani kitimotos ilikuwa inamkoma huko siyo ndiyo balaaaa,but i wish best of luck najua siku moja na wewe utakuja kumrithi SOLOMONI kwenye hicho kiti cha enzi hapo BBC.

    ReplyDelete
  10. Said John unatakiwa uje ulipe madeni ya watu hapa BONGO !! Mara tulikuwa tunasikia huko BRAZIL tukaona huko ni mbali na hatuwezi kukufuatilia LAKINI maadam tumeishajua kuwa uko hapo LONDON basi iko siku utasikia tunatia TIMU hapo ili uweze kulipa madeni ya ndugu zetu ambao uwezo wao wa kukufuatilia wewe ni mdogo. kama hutaki makuu basi jitahidi kutuma hizo pesa unazodaiwa !!!! Jitahidi basi mshirika kabla HATUJAINGIZA timu !!!

    ReplyDelete
  11. khaa! huyo jamaa Lupatu (Pompy) macho makubwa utafikiri yanataka kudondoka! Lakini yanamvuto zaidi akiwa kwenye suala zima la uwanja wa fundi seremala

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...