
mkuu mpya wa taasisi ya utangazaji bongo danstan tido mhando (shoto) amesharipoti kazini na keshaanza kujichanganya. hapa akibadilishana mawazo na waandishi waandamizi salva rweyemamu (kati) na nanihii...
sikiliza mahojiano tido mhando kwa kubofya hapo chini
http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/eg/2007-01-21T10_28_05-08_00
mwanakijiji@journalist.com
Nimemuona Salva akanikumbusha maoni yake kuhusu muswada mpya wa habari,real the guy anajua kujadili mada,na anaonyesha kuwa always yuko fair,tofauti na wadau wengine wa habari ambao hawataki kusema ukweli kuhusu muswada huu mpya,especially media owners(wanaogopa muswada ukipita they can not hire cheap labour from unqualified jounalists!)
ReplyDeleteJamani eti ni kweli Manji kanunua Clouds FM by 50%
ReplyDeletePia huyu Rostam Aziz kaichukua Habari Corporation,Mengi ana kazi mwaka huu...
Kwa kweli niliposikia Tido anastaafu BBC, nilisikitika sana. Lakini uvumi ulipoenea kwa kasi kuwa ni mmoja wa WANA-MTANDAO na anapewa kazi ya u-BOSS wa taasisi nyeti ya Utangazi nchini, nilifurahia zaidi na zaidi. Kwa hakika hii nchii ina mchezo wa kuachia hazina kama hivi zikipotea nje ya nchi bila sababu. Tido tuna imani naye na tuna hakika kuwa TVT na RTD, licha ya kuwa ni ORGANS za ki-propaganda za kiserikali, atazifanya kuwa na taste nzuri kuliko ilivyo sasa! Sasa hivi hapa TZ, Sehemu ambapo hakuna signals za local FM stations, unajisikia raha sana ukisikiliza KBC kuliko RTD. Kwanini...?! TIDO tuna imani nawe, BBC tulikuwa hatukosi, hasa jumamosi asubuhi. Tunataka pia tusikose TVT na RTD. Mungu akubariki!
ReplyDeleteHuyu mtoto amekaa vizuri kweli kwa makamuzi! Dooo,, we acha tu! Kila mtu ni mzuri, lakini mzuri wao!
ReplyDelete