mo
wadau wengi wamedai linki za huyu mdau...haya hizo hapo
Ndolela Chaseleleka - Olembo Musononoko
http://www.jambovideo.com/2007/01/19/ndolela-chaseleleka-olembo-musononoko/
Ndolela Chaseleleka - Omwana Omulesi
http://www.jambovideo.com/2007/01/19/ndolela-chaseleleka-omwana-omulesi/
Ndolela Chaseleleka - Maringo Group
http://www.jambovideo.com/2007/01/18/ndolela-chaseleleka-maringo-group/

Kumbe vijijini kwetu kuna wasanii wazuri tena wajuao kutumia technologia za kisasa katika kuchukua picha za video na kujitangaza katika mtandao. Sasa wa mjini kama kina Twanga, Msondo, TOT Plus mpo wapi katika zama hizi za sayansi na tekinolojia?!!!
ReplyDeleteKumbe vijijini kuna wasanii wazuri sana na tena wanatumia tekonolojia za kisasa katika kujitangaza kwa picha nzuri za video na mtandaoni. Sasa wazee wazima wa mjini kina Twanga, Msondo, Chipolopolo, King KiKi, Kasongo Mpinda na wengine tele wa mjini, mbona hamuendi na wakati wa zama hizi za sayansi na tekonolojia katika usanii?
ReplyDeleteMichuzi,hiyo ni lugha gani?
ReplyDeletekweli kunamaendeleo na nafurahi sana tena sana, kumwona huyu baba akimwaga razi, hapa na kujulikana kwenye mtandao na kujua teknolojia. wajameni wajita hoyeeeeeeeeeeee, wajita hoyeeeeeeee, NI MJITA HUYU BABA KUTOKA KULE KULE POTI, MAJITA MUSOMA. NA NI POA SANA, KWA KUCHANGAMSHA SHEREHE ZA NAMNA YEYOTE.
ReplyDeleteHONGERA BABA.