Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kumbe vijijini kwetu kuna wasanii wazuri tena wajuao kutumia technologia za kisasa katika kuchukua picha za video na kujitangaza katika mtandao. Sasa wa mjini kama kina Twanga, Msondo, TOT Plus mpo wapi katika zama hizi za sayansi na tekinolojia?!!!

    ReplyDelete
  2. Kumbe vijijini kuna wasanii wazuri sana na tena wanatumia tekonolojia za kisasa katika kujitangaza kwa picha nzuri za video na mtandaoni. Sasa wazee wazima wa mjini kina Twanga, Msondo, Chipolopolo, King KiKi, Kasongo Mpinda na wengine tele wa mjini, mbona hamuendi na wakati wa zama hizi za sayansi na tekonolojia katika usanii?

    ReplyDelete
  3. Michuzi,hiyo ni lugha gani?

    ReplyDelete
  4. kweli kunamaendeleo na nafurahi sana tena sana, kumwona huyu baba akimwaga razi, hapa na kujulikana kwenye mtandao na kujua teknolojia. wajameni wajita hoyeeeeeeeeeeee, wajita hoyeeeeeeee, NI MJITA HUYU BABA KUTOKA KULE KULE POTI, MAJITA MUSOMA. NA NI POA SANA, KWA KUCHANGAMSHA SHEREHE ZA NAMNA YEYOTE.
    HONGERA BABA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...