niko na mwanamitindo rachel ambaye pia ni miss dunia 2006 na mdau emmanuel toka sydney australia aliye nchini kutesti zali la kuwekeza kwenye mambo ya picha za kutangaza bongo nje

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Jamani huyo Rachel kabarikiwa kwa urembo.

    ReplyDelete
  2. Bwana Emannuel uko wapi pale Sydney mzee. Mimi baada ya kuzunguka karibu dunia nzima bado nadhani kuwa Sydney ni pazuri sana. Nilikuwa naishi Kingsford uelekeo wa Maroubra si mbali sana na University of New South Wales. Niliondoka wakati ndio shughuli za ujenzi wa viwanja vya Olimpiki unaaza kule kwao Paul Keating. Ukikutana na rafiki zangu akina Sam, Gemma, na waswahili wengine wote walioko hapo tangu miaka ya 90 wape salamu zangu

    ReplyDelete
  3. POWER NGALA MZEE WA ANTI LOG...NAONA UNAONGEZA FANI.....UHASIBU SASA SNAPS.....MAMBO YA UJASIRIAMALI SI MCHEZO...KILA LA HERI KAKA!!!!!

    ReplyDelete
  4. michuzi mimacho imemvimba utafikiri katoka usingizini

    ReplyDelete
  5. Rachel hana uzuri wowote weupe tu unamstiri

    ReplyDelete
  6. MICHUZIIIIIIIIIIIIII
    Toa ile picha ya midoli mimi kila nikiitizama nasikia nyege naishia kujitumbukiza vidole!

    ReplyDelete
  7. Michuzi, Huyo ni Mwekezaji au ndio gea yake ya Kurudia nyumbani????.....
    mambo ya nitoke vipi!!!!...

    washikiaji waliozamia wakirudi bongo huwa ndio style zao hizi, 'mwekezaji', 'mjasiria mali'.... maneno meeengiii.... matendo finyu.....

    wengine huwa wanawakandia sana washkaji wanaowakuta hapa nyumbani na kuwaambia kuwa wamelala na hawana lolote na si chochote....

    kama noma na iwe noma, mimi wacha nisema ukweli...

    na hisi huyu jamaa yako michuzi nae ni mmoja wao....

    aawe mkweli na apewe msada mabadala..

    ReplyDelete
  8. vipi mjomba Emanuel, je hapo sidine umewahi kukutana ya yule mcheza karate Edgar hapo sydney? nasikia amekula sana baga kaota na kitambi matizi yote kaweka pembeni. ukimuona msalimie

    ReplyDelete
  9. acheni kuhate..ari mpya mambo mapya..mtoto mzuri sana..wakati wa kujimix ma wahindi ndo umewadia..

    ReplyDelete
  10. Huyo anony wa 8:20am ni hater. Mtoto Rachel ni bomba kichizi, ningeweza ningechumbia. Akiwa mke wangu si maanjumati ya kihindi hayo, maana mipilipili, shanga, mpako wa ina mpaka sehemu sehemu. Rachel you are so pretty, and so sexy too. Keep it up girl, and don't listen to haters.

    ReplyDelete
  11. Nyamaza Michuzi. Usilie

    ReplyDelete
  12. Michuzi aisee mi kinachonikela ni kuwaona viongozi wetu wanafungua miradi ya ulevi alafu wenyewe wanafurahii!! wanadhani hayo ndo maendeleo, ulisikia wapi mawaziri wanaenda kufungua miradi ya pombe,hizo wawaachie wakurugenzi wao.tunataka kuwaona wanafungua Secondary, universities, vituo vya technologia na mahospitali.ni nchi gani duniani imeendelea kwa miradi ya ulevi.Wanakela bwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...