Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nci yao hao maji mara moja hao halafu ngoma nje nje ! tuliopo juu tuangalie jamani !
ReplyDeleteKwa hakika ni huzuni kubwa kuondoka kwa mama huyo, namkumbuka sana, tumefanya nae kazi sana,hapo nyumbani, ni miongoni mwa akina mama wajasiri sana, wenye uwezo wa kujieleza bila kujali wewe ni nani, una umri gani, una cheo gani au rangi gani,nafikiri kaka utakubaliana na mimi kwa hilo, unakumbuka siku ile usiku Royal Palm baada ya baadhi ya watu kumsema vibaya Komred jinsi huyo mama alivyolipuka? Ni wachache sana wenye uwezo ule, namtakia maisha mema
ReplyDeleteKujieleza sidhani ,maana huwa ana kwama kwama utadhani English ni kajifunza ukubwani ana mbinu nyingi sana za kukwepa maswali, ni ukali nakukunja uso , hana chochocte ni mmoja wa wale wale tuu!
ReplyDeleteArudi kwao Zimbabwe, ziki zimekithiri hadi masikioni, ukitaka kununua mkate hadi ubebe toroli la pesa, petroli ni kama almasi, ikipatikana mara moja kwa wiki. Mugabe ameiua kabisa hii nchi. Nasikia amejichimia handaki la chini kwa chini kutoka Ikulu hadi uwanja wa ndege, mambo yakichacha anapita chini kwa chini na kuishia zake na ndege ya Air Zimbawe.
ReplyDeleteHAKUNA WATU MATAPELI KAMA WAZIMBABWE SIKU HIZI, KUZIDI HATA WANAIJERIA NA WAGHANA. SIO SIRI.
ReplyDeletewell... huyu mama kama kikisto (English) kiliwakuwa hakipandi tunaweza kumlinganisha na Morgan Tsvangirai ambaye alikuwa mbangaizaje fulani pale Harare, halafu kwa nguvu za washikaji akaibuka kuwa mpizani!!
ReplyDelete