
pichani ni wastaafu/walioacha nyadhifa zao takriban kumi hivi waliotumikia taifa katika nyadhifa mbali mbali. nitajie majina yao kamili na nyadhifa walizopata kukamata.
masharti:
1. mtu yeyote aliye bongo ama ughaibuni anaruhusiwa kushiriki
2. mshindi ni yule atayepatia majina si chini ya manane (8) na nyadhifa husika kwa usahihi uliotukuka
3. blah blah kibao kwenye jibu marufuku
4. elezea kwa usahihi mtu unayemtaja na wadhifa aliowahi kushika. ukiweza kuelezea ni kati ya mwaka upi na upi aliotumika ni bonasi, kwani ukipatia japo wanne tu katika hili wawea kushinda endapo mshindi wa swali dume atakosekana
5. uamuzi wa jopo la majaji ni wa mwisho
6. mstari mfu ni saa sita usiku jumapili ijayo
1. mtu yeyote aliye bongo ama ughaibuni anaruhusiwa kushiriki
2. mshindi ni yule atayepatia majina si chini ya manane (8) na nyadhifa husika kwa usahihi uliotukuka
3. blah blah kibao kwenye jibu marufuku
4. elezea kwa usahihi mtu unayemtaja na wadhifa aliowahi kushika. ukiweza kuelezea ni kati ya mwaka upi na upi aliotumika ni bonasi, kwani ukipatia japo wanne tu katika hili wawea kushinda endapo mshindi wa swali dume atakosekana
5. uamuzi wa jopo la majaji ni wa mwisho
6. mstari mfu ni saa sita usiku jumapili ijayo
7.lugha yoyote kati ya kiswahili, kiingereza, kijerumani na kifaransa zinakubalika - mradi isiwe ya kubabia...
zawadi: picha yoyote utakayo
zawadi: picha yoyote utakayo
hint: wengi wao wamewahi kuwa wakuu wa vyombo vya dola
kazi kwenu wadau na gudi laki
1. Mahita
ReplyDelete2. Mgaya
3. Gen. Mboma
4. Gen. Kiaro
5. Butiku
6. Mang'ula
7. Jeremiah Solomon Sumari
8. Prof. Shayo
9. Bibo (Huyu sio mstaafu wala nini)
Zawadi yangu tutawasiliana kwenye barua pepe.
Michu kwa kuongezea
ReplyDeleteMahita (IGP), Mgaya (IGP) hao majenerali mnajua walikuwa nani!
OK. Mwenye suti ya maziwa ni IGP mstaafu (1996 - 2006)Omari J. Mahita, kushoto kwa Mahita anayelonga kwenye simu ni IGP mstaafu 1970s na mkuu wa mkoa Tabora mstaafu Philemon Mgaya. Kushoto kwa Mgaya ni Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi 1970s - 1980s mstaafu Joseph Butiku, mbele ya Mahita (anayezungumza naye) ni mkuu wa mkoa Shinyanga mstaafu na mjumbe wa NEC mstaafu Peter Kisumo.
ReplyDeleteRight to left:
ReplyDelete1.Omari Mahita-Former IGP
2.Philemon Mgaya-Former IGP
3.Joseph Butiku-Chairman,Mfuko wa Nyerere.
4.General Robert Mboma-Mkuu wa zamani TPDF(1994-2002)
5.General Ernest Mwita Kyaro-Mkuu TPDF(1988-94)
Left to right:
1.Philip Mangula-Former CCM SG
2.Dr.Lawrence Mtazama Gama-Former Director usalama wa taifa,Former Songea urban MP na former Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya ulinzi na usalama.
3.Proffessor Shayo-Mhadhiri,UDSM.
4.Peter Kisumo-(Nyerere's Former aide de-camp na waziri wa zamani wa tawala za mikoa na maendeleo vijijini)
5.Jeremiah Sumari-MP Arumeru West,Waziri mdogo wa kazi na maendeleo ya vijana.
Rwegasira
ReplyDeleteMalima
Makamba
Nyerere
Kakobe
John Komba
Maumba
Mpakanjia
Ali Choki
Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba.
BIBO.....MZEE NAKUAMINIA.....UNAKABA HADI PENATI....HUCHEZI MBALI NA WAZEE...NAONA UKO PALE KURASINI SASA...SOONEST HUYOOOOO UBALOZINI.....FANYA KWELI KAKA TUZIDI FAIDI MATUNDA YA UHURU!!!!
ReplyDeleteMwenye suti ya rangi ya maziwa ni Omar Mahita (retired IGP)
ReplyDeleteAnayemfuatia ni Philemon Mgaya (retired IGP)
Ukiruka mtu mmoja, anayefuatia ni Robert Mboma (retired CDF) na anayemfuatia ni Ernest Kyaro (retired CDF).
Mstari unaofuatia, aliyegeuka (shati nyeupe, tai nyekundu) anaongea na Mahita ni Peter Kisumo (waziri mstaafu, mkuu wa mkoa mstaafu na MNEC-CCM mstaafu).
Ukiruka watu wawili, anayefuatia ni Lawrence Gama (former Director of Intelligence, former MP-Songea na former Katibu Mkuu - CCM Taifa).
Anayemfuatia ni Philip Mangula (immediate former Katibu Mkuu -CCM Taifa).
Hapo ndipo upeo wangu ulipoishia kwa wastaafu hao wa kitaifa.
duh mimi ujanja umeniishia kabisaa, kumbe watu mna details hivi vichwani, mie namfahamu mmoja tu IGP Mstaafu Mahita.....duh watu mna-google software vichwani hongera saana mmejaliwa...kumbe nanyie vichwa kama Mpapalika, yes i mean it! hazina kwa watanzania tatizo hamjuhi kuzitumia maskini.....
ReplyDeleteright to left:
ReplyDelete1.omari mahita-mkuu wa polisi mstaafu
2.philemon mgaya-mkuu wa polisi mstafu
3.joseph butiku-mwalimu nyerere foundation
4.genelari robert mbona-mkuu wa majeshi mstaafu
5.generali ernest mwita kyaro-mkuu wa majeshi mstaafu
left to right:
1.philip mangula- katibu mkuu mstaafu CCM(1996-2006),mkuu wa mkoa(mwanza,kagera)mkuu wa wilaya(kwimba)mkuu wa chuo cha siasa
2.Dr.lawrence Gama-katibu mkuu mstaafu CCM 1995-96,mkuu wa mkoa(tabora,songea),mbunge songea hadi 2005,usalama wa taifa
3.profesa shayo
4.peter kisumo
5.jeremiah sumari, naibu waziri wa kazi na maendeleo ya vijana
mmh hawa wazee bado wana thamani kweli kwenye nchi hii?au wameshatupwa?naomba nijue wanajishughulisha na nini sasa hivi baada ya kuitumikia serikali kwa muda mrefu
ReplyDeleteDhu umenikumbusha Lawerence Gama very smart/elegant....
ReplyDeleteCorrection ya jibu langu hapo juu.Hebu michu rekebisha mambo hapo.Jopo la kwanza ni left to right na la pili ni Right to left.
ReplyDeleteDUU NAMJUA BIBO (RICHARD KASESELA) TUU MSTAAFU KIBO BREWERIES MOSHI... NA SASA ANAGAWA KONDOM TOKA CHINA HAHHAAA ILA ANAHUSIANA NINI NA NYADHIFA MBALI MBALI ZA TANZANIA AU SHUSHU NINI?? KABLA KIKWETE HAJAHAMA ALIKUWA NI JIRANI YAKE PALE MSASANI.. INATOSHA.. MIS YOU BIBOOOO
ReplyDeleteSo what!
ReplyDeleteHawa watuandikie vitabu kuhusu Tanzania kwa ajili ya shule zetu za sekondari na vyuo vikuu!
Kushoto ni IGP mstaafu (1996 - 2006)Omari J. Mahita, kushoto kwa Mahita ni IGP mstaafu 1970s na mkuu wa mkoa Tabora mstaafu Philemon Mgaya. Mkuu wa magereza msaafu Tabu Mangara, mbele ya Mahita (anayezungumza naye) ni mkuu wa mkoa Shinyanga mstaafu na mjumbe wa NEC mstaafu Peter Kisumo. Kulia kabisa mwenye kofia ni Mwita Kiaro Mkuu wa majeshi 1980- 1986, kulia kwake Gen Robert Mboma mkuu wa majeshi 1986-1997, mbele ya mboma ni Lawrence Mtazama Gama mkuu wa usalama wa taifa mstaafu na katibu mkuu wa chama CCM 1984 -1996,kushoto kwa Gama ni Philip Mangula katibu mkuu wa chama CCM 1996-2006,mbele ya Mangara ni mkuu wa sungusungu mstaafu wa mtaa wa migombani Richard Kasesela
ReplyDelete