modo wa kibongo cynthia masasi na rafikiye hivi wakiwa huko atlanta. bonyeza hapa uone vitu vyake zaidi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Wewe Michuzi, sometimes you gotta look at the picture before posting. Unaharibu hadhi yako. Huyo ni Cynthia na rafiki yake wa Florida. Sio Imani supermodel mstaafu (David Bowie's wife). Do some research Bro. Usipende hao wapenda sifa wakuharibie "the best blog in the world". Achana nao kina Cynthia wanapenda sifa na kukuambia kapiga picha na Imani. Shikilia heshima yako.

    ReplyDelete
  2. masasi cheki uzito hautakupeleka mbali,ulaya watu wana obsessiona na wembamba.

    ReplyDelete
  3. HAYA TENA, HUYU CHANGU ANATOKEA TENA KWENYE BULOGU, MICHUZI NAONA ANAFURAHIA HYPE.
    NA MIWANI HII NDIO FASHION? KUWAIGA KINA MRS BECHAM, NA J.LO.
    MAANA HATA SASA HIVI MWANAMKE MPYA ANAYETOKA NA PETER RUPIA, ANAVAA MIWANI MIKUUUUUUUUUUUUBWA. MAMBO HAYO.

    ReplyDelete
  4. Saa nane na dakika arobaini na tatu usiku...hao machangu wametinga miwani ya jua...we wacha tu

    ReplyDelete
  5. naona michu umeona wageni milioni wanachelewa umeamua umuhusishe mdau mkuu na mmiliki mwenza wa blog cyncia masasi hakuna shaka kaka tutafika!

    ReplyDelete
  6. huyo dada mwingine siyo alikuwa anakaa kinondoni block 41? alikuwa mwizi mwizi akilala na mwanaume lazima amsachi sijamuona sikunyingi huku

    ReplyDelete
  7. Kwa sasa hapa Amerika (katika nyanja za wabuni wa mavazi, modelling, and advertising) kuna hoja inaendelea kuhusu mamodo wenye kukonda mithili ya vunjajungu anaopigwa vita in favour ya mamodo wenye umbo la kawaida. Sijui malumbano yatafikia wapi!

    Cynthia, labda, shikilia uzi ule ule wa umbo lako.

    ReplyDelete
  8. hapa wako kwenye changus nite nini? machangu hao

    ReplyDelete
  9. wa2 kwa uchawi hamuachi?hiyo ndio fashion ya siku hizo miwani mikubwa mikubwa tuu.cynthia kamua mbayaaaaaaaaaaaa ndio maana ya kuwa supa staa.

    ReplyDelete
  10. michuzi kuna picha yako wewe na cynthia kule tanzatl.org umeandika mimi na my girlfriend umeisha iona?mmependeza saana wewe na cynthia masasi.

    ReplyDelete
  11. wenye wivu wajonyonge hata hapa bongo wa2 tunakula miwani.kina dada mmependeza saaaaaaaaana tuu waacheni wanga wafe.

    ReplyDelete
  12. michuzi nakuheshimu sana braza, ila kila unapoweka picha ya dada yangu huyu unanitia sana hamu, ngoja na mimi niropoke kidogo maana najizuia mno nashindwa,

    "**@~#£!¬...++*^¬%4$>,~...."

    DO AFADHALI NA MIMI NIMELITOA LANGU

    ReplyDelete
  13. KAMA KWA UZURI CYNTHIA MASASI NI MZURI JAMANI TUACHENI UNAFIKI HAA.

    ReplyDelete
  14. cynthia masasi nakupenda saaana kama navyopenda ugali wa muhogo na mlenda.wewe bomba bwana wala usisikilize maneno ya washenzi hao hawana kazi za kufanya wana-wish uwe dada yao.

    ReplyDelete
  15. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  16. Cynthia unakumbuka Bugando Mwatex Houses?Your are doin' good.Hongera saana.all the best.HM

    ReplyDelete
  17. Cynthia unakumbuka Mwanza Sec na Bugando flats.You are doin' good.congratulations,keep it up

    ReplyDelete
  18. Hi Cynthia,congratulations.Unakumbuka Mwatex flats na Mwanza sec,mambo yalikuwa super,HM

    ReplyDelete
  19. Hi cynthia,congratulations.unakumbuka mambo ya Mwatex flats na Mwanza sec?keep it up!wewe ni mwisho

    ReplyDelete
  20. Wewe ni mwisho!you are like precious mineral.HM

    ReplyDelete
  21. huyu PETER naye hana mpango, wala hajakosea anonymous hapo juu, ni kweli ana mwanamke mpya sasa, hata ajifiche vipi anaonekana na ni kweli anapenda kuvaa mawani makubwa kama bakuli.
    Mwanaume ana tamaa sana huyu, girlfriend wake kumpa mgongo tu kurudi UK, tayari anamwanamke mwingine wa kupast time mpaka atakaporudi.
    Hatujui kwanini anamvumilia kijana kama huyu. Ah! mie maskini jeuri bwana hata kama amemjengea nyumba, ingekuwa mie ningempiga buti tu. hana maana. ndio maana mke wake alimdhalilisha hapa mjini.

    ReplyDelete
  22. hivi wee michuzi unajua maana ya SUPAMODO? huyu ni video whore not a fashion model!!! utafungwa shauri yako

    ReplyDelete
  23. ACHENI KULETA HADISI ZA ABUNUWASI HAPA JAMVINI.
    MMEANZA KUMSAKAMA PETER RUPIA, HAMJACHOKA TU? HUYU BWANA HAMUMUWEZI HATA MFANYE NINI, MMEPIGA VITA SANA, TALK ABOUT STANDING BY YOUR MAN. HIS REAL WOMAN IRENE KNOWS. MMEMSAGIA WEEEEE LAKIIIIIIIIIIIIIINI KILA LIKIZO TOTOZ INAINGIZANA BONGO NA WAKO BENETI TU, WANANG'ARA TU.
    WEWE UNAYEJIFANYA NI MASIKINI JEURI HATA KAMA PETER ANGEKUJENGEA NYUMBA UNGEMPIGA BUTI TU? USITAKE KUCHEKESHA WATU HAPA, MANENO YA MKOSAJI HAYO, WEWE ULIE TU.
    BONGE LA BANGALOO PETER KAMJENGEA GIRLFRIEND WAKE MBEZI, NA SASA INAMIKARABATI.
    WIVU TU UNAWASUMBUA NYIE. HATA KAMA MKEWE ALIMWACHA, INAWAHUSU NINI? MNAONA SIFA ANNA ALIVYOMWAIBISHA PETER KWA KUTOKA NA MZUNGU NA BAADA YA MZUNGU AKATOKA NA MWAFRIKA PIA? KWA TAARIFA YENU, SIFA YA MWANAMKE MWEMA SIO HIVYO. TUNASEMA PAMOJA NA KUITWA MJINGA, IRENE ANAHESHIMA YAKE. NA WANENGA WALINENA KUWA MVUMILIVU HULA MBIVU.
    ACHENI KUBWABWAJA UTUMBO HAPA, NENDENI MKAVUTE BANGI ZENU, MUKAKOJOE, MUKALALE.
    LEAVE THEM ALONE. MAANA MESHAIBUKA NA STORY HAPA KUWA ANA MWANAMKE MPYA, JE MUNAUHAKIKA GANI? JE MMESHIKA PETER UGONI?
    IRENE MAMA ALUTA KONTINUA, FUNGA ROHO, ACHANA NA WAKUDA HAWA, NI WAZI HAWANA KAZI YA MAANA, KULIKONI.

    ReplyDelete
  24. anonymous wa 10:15 inaonekana wewe ndio PETER RUPIA, u ANNA, maana umejieleza saaaana....ila poa kama ni mshika pembe wake maana inalipa pia bongo..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...