
Nimetonywa na mdau george matovu kwamba piga ua mtimkubwa huwa hakosi kuhudhuria hili tamasha maarufu la finland liitwalo FEST AFRICA linalofanyika kila mwaka kwenye mji mzuri wa tampere na waandaaji ni wabongo yeye akiwa mmojapo. Anasema sasa ni mwaka wa saba na kwamba kuanzia mwaka huu litafanyika mara mbili yaani wakati wa baridi ( winter) na wakati wa kiangazi (summer). Mlio huko kazi kwenu…
Baaaaab Kubwa
ReplyDelete