dj mkongwe chris phabby the lover (shoto) akiwa na dj ngomeley katika hafla ya mkutaniko wa ma-dj wa zamani hivi karibuni. chris, anayefanya kazi ya masoko katika kampuni ya sigara, hivi sasa amemrejea bwana wakati ngomely ni mfanyabiashara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. Michuzi ni kweli kwamba Chris Phabby alikuwa akipiga muziki na Afro 70? (Group moja na Marehemu Patick Balisidya)?

    Namkumbuka huyu Dj Ngomely, alikuwa maarufu sana enzi za madisko enzi hizo maeneo ya Temeke.
    John Peter yupo wapi siku hizi bado ana Dj au kaacha?

    ReplyDelete
  3. Nilipokuwa Bongo 2003,John Peter alikuwa dj ktk hall moja iliyoko hapo Billicanas.Huko miziki ni ya enzi zake(80's),safi sana!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...