wabongo wakiserebuka huko dakawa (dallas)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. haya mambo ukitoka hapo unakwenda kuutafuta ugonjwa kama sio kuambukiza, ikiwa mmoja wenu anao.
    Kiju!

    ReplyDelete
  2. Mbona unaharibu uhondo??
    umekosa jina la Mji wa Dallas?

    au unawaogopa wanaokutaka utumie lugha safi?

    Naomba unapoipandisha hii comment yangu, badilisha na caption ya hipo picha na kuupa jina la kimichuzi mji wa Dallas.

    ReplyDelete
  3. Dooh Michu sasa hii unataka wageni wa hii blog yako tupate ndoto za mawenge usiku, huyu mwanamke mbaya kiasi hiki nimbongo kweli?!!! Ona jinsi alivyochoka, mwili umelegea kama wa kizee kinachofukuzia miaka 100! Halafu sijui hata dolla ya kununua kioo hana masikini ya Mungu, angekuwa amejiangalia kwa kioo hayo mavazi ya utupu asingedhubutu maulana kuyavaa. Kama maisha yenyewe ya ugaibuni ndiyo hivyo, dada rudi hm ukapate lishe bora ili muonekano wa mwili wako uendane na umri.

    ReplyDelete
  4. Michizi angalia sana picha wanazokutumia hao wazushi wa US, maana wengine kwao wanatoka kwenye familia za kilokole! Sasa baba wa huyo binti hapo hachelewi kukataa kuendelea kulipa ada ya chuo (kama anasoma)....maana si ajabu wakati anaondoka alikuwa kavaa sketi ndefu!

    ReplyDelete
  5. MBONA WABONGO WANATIA AIBU HIVI? HAPO DALAS MAREKANI,? NDIO MVAO GANI HUO? NA JE NI DEMU AU NJEMBA HIYO, DUH! MBONA HATARI? HAMNA TAFAUTI NA MANZESE.

    ReplyDelete
  6. mai dog....

    ReplyDelete
  7. KAKA KWELI HAPA TEXAS ? MIE SIAMINI MAANA HAKUNA TOFAUTI NA PALE MANZESE KWA MFUGA MBWA...HEBU MUANGALIE HUYO DADA NDIYE CYNTHIA AU NI NANI?

    ReplyDelete
  8. Kweli baadhi ya wabongo majuu wamedata

    ReplyDelete
  9. Aisee sasa hii inatisha, kama ndo style zenyewe za majuu itabidi nikukimbie. Napenda sana mambo ya majuu, lakini inapofikia kuweka UCHI nje naogopa. "Baba yetu uliye..., utusamehe makosa yetu ....,

    Revd. EVM

    ReplyDelete
  10. doooooooooooooooooooooh!, this sucks!!!!! wallahi inatilisha kinyaa...

    ReplyDelete
  11. MISUPUU!!! THIS PICTURE IS SILLY,IT IS NOT WORTHY TO BE HERE

    ReplyDelete
  12. DUH!!!! BALAA MBAYA SANA.
    INATISHA SANA CHARIII.
    KUMBE hata huko Dallas nako kuna UWANJA WA FISI!!!!

    ReplyDelete
  13. AAAH YAANI WANATUTIA AIBU.. WAKO WAKO TUU WACHAFU WACHAFU, WAMEVAA VIJINGUO VYA AJABU AJABU, VIKWAPA VIKO VYEUSIII MATITI KAMA KANDAMBILI BASI TUU ILI MRADI KWAKWELI WANATULET DOWN WEUSI!! BASI KAMA WAMEAMUA KUVAA HIVYO VIWE VINANG'ARA BASI MMH NA WAO WAPAKE WALAO PODA PODA KUFICHA MAKUNYANZI YA NGOZI.. AAH HAYA BWANA LABDA NA MIMI UZEE UNANINYEMELEA COZ WANASEMA UKIONA MTU (ESP. DEMU KAMA MIMI) ANAKANDA HIVI BASI UJUE NDO UMRI UNASOGEA KWA PUPA NA SIELEWI VIJIMAMBO VYA KISASA...

    HAYA BWANA MMMMH KWAHERIII

    ReplyDelete
  14. Michuzi hebu tuambie ukweli hapo ni Dallas kweli au Dakawa, kule Morogoro, ndio maana tunalalamikia tatizo ulilolianzisha hivi karibu ni kutuchanganya kwa kuweka majina ya utani kwenye miji ya kweli.

    Kwa kweli hapo naona watu wote wamevaa mavazi ya hali ya chini sana! Ambayo katika hali ya kawaida hayawezi kuwa yanpatiakana Amerika! Maana kuna mdada mmoja hapo anaonekana amevaa sidiria, sketi na raba! Hiyo dress lazima ni ya mtu wa kijijini

    ReplyDelete
  15. ...hapo sio Dallas na hakuna hata mbongo mmoja ninayemjua anaishi Bid D katika hiyo poicha na nyie mnaojifanya eti wabongo wa states wamechoka ni wivu tuu unawasumbua..mnatamani sana mngekuwa kiwanja lakini mfanye nini maana uwezo hamna....life iko huku tunatanua vibaya sana nyie endeleeni kuchonga tuu na migawo yenu ya maji na umeme na mivumbi,vikwapa,rushwa,njaa,miwivu na takataka zote mlizojaliwa mbuzi nyie

    ReplyDelete
  16. Mkituaambia majuu watu wamechoka hatuamini. Hapo ni true picture ya Dallas. Picha zingine zote wanazotutumia wanakua wanapose na wanajiandaa kweli.

    Mwingine amevaa bra tu na huyu sijui hata deodorant alitumi iwapo nguo alienda kununua children size.

    Majuu mchoko mkali sana. Hapo watu wanaondoa stress.

    Walisemaga kubana matumizi sio kuvaa nguo fupi.

    Rudi nyumbani kwasababu sijui hapa uko high au umevuta moshi kwa vile kama hujatumia kitu chochote basi ni balaaaaaaa

    ReplyDelete
  17. Marekani hamna club nzuri kama bongo za hapa watu wanabanana kama nini

    ReplyDelete
  18. duu,
    hiyo njemba ina vidole virefu kweli!!

    ReplyDelete
  19. Watu wa Dallas USA msiikatae hii picha kwani Marekani pia ina vitongoji vya watu walalahoi. Si tuliona wakati wa kimbunga cha 'katrika' huko huko Marekani New Orleans baadhi ya wakazi wa huko walikuwa wachovu tu kama wa duniani ya tatu, na Texas, Dallas ni majimbo ya kusini ya Marekani kama huko New Orleans, hivyo kuwa na 'kilabu cha pombe na muziki wa kutumua vumbi' Dallas si jambo la ajabu. tembea uone.

    ReplyDelete
  20. Nyie wote mnaosema vibaya kuhusu mavazi jibuni hili swali. Kule Tanzania wacheza ngoma za asili (traditional dance) wanavaa nini zaidi ya vinyasi vinavyoficha uchi? Tafadhali jibuni. Alafu kwa wale wanaotoka kwenye yale makabila yenye ngoma za ndani, ambazo tunajua huwa ni special kumfundisha binti kumtunza mume kingono, ipi bora, wanaoficha mambo ya ngono kwa kupaka picha ya ngoma za ndani, au wanaoamua kwenda night club na kupata good time? Wengi hapa wanajifanya kukemea nguo za huyo binti, lakini wakiwa gizani (including msomaji wa hii glob) ndio wabaya, wachafu wa kwanza. Ndio ninyi mkiona mwanamke ndani ya club, mnamvizia saa ya kutoka kwenye parking lot muombe namba ya simu. Ninyi ndio waasherati wa kwanza, kazi kuvizia wake, na mademu wa watu. Mambo machafu yenu mnayaficha, lakini kazi kuwanyoshea wenzenu vidole. If I catch you fucking with my bitch, nigga I pull the trigger on your ass muthafucker. Fuck all bitch ass niggaz. There are so many single bitches in da hood, go get yours punk!

    ReplyDelete
  21. JAMANI EEH HAWA SIO WABONGO KABSAAAAAA WABONGO MNAJIJUA MNAVYOPENDA KUPENDEZA HASA MKITOKA MA-AUTI MTAFANYAKAZI DABO SHIFT MKUSANYE HELA YA VIWALO ILI MUONEKANE SOPSOP THERE IS NOOOOOOOOO WAYYYYYYY HAWA NI WABONGO INAWEZEKANA JAMAA NDIO MBONGO ALIENDA KUHAHA SEHEMU WABONGO TUKO VERY KUJIPENDA TANGO BONGO TULIJUWA TUNAENDA MITUMBANI ILI TU LOOK GODI HALAFU ETI TUKO JIKONI TUCHEMSHE JUST THINK ABOUT IT! IT DOESN'T MAKE SENSI

    ReplyDelete
  22. Mtume.......!! Kikwapa Kileeeeeeeeeeee!!!

    ReplyDelete
  23. HII INAONYESHA JINSI GANI WATU WA DALLAS WALIVYO HOPELESS KWANI WAO NDIO WANAUWANA -CHOMANA MAVISU NA KUULIWA PIA.SIMSHAURI MTU KWENDA HUKO NI SEHEMU YA WATU WALIOKWISHA JIKATIA TAMAA.

    ReplyDelete
  24. HEBU LETE PICHA ZA MAANA MICHUZI, SIO UCHAFU HUU.
    MBONA UNAJISHUSHA HADHI???? HII NI BLOG YA KIMATAIFA. LETE PICHA ZA MAANA. KAMA UKIWEZA PICHA YA DAUDI AMBAYE ANATAKA KUMPIGA MTU, KWA KUMNYEMELEA MPENZI WAKE, HAINESSI (HONEY) KWAKUTUMIA JINA LA BABA YAKE. DAUDI ALIMWAMBIA "NANI ASIYEKUWA NA JINA??? HATA MIE DAUDI NINALO JINA. SHENZI TAIPU.

    ReplyDelete
  25. mi sidhani kama huyo ni msichana, mbona sura ya kidume? yalaaaaaaaa
    r.j...

    ReplyDelete
  26. KWELI J4, HII PICHA INAONYESHA JINSI WATU WANAVYOBADILIKA WAKIWA NJE. WENGI WALIO KUWA MAREKANI NI VERY HOPELESS NA BILE FUTURE, PESA POMBE MAGARI NA SEX NDO ZAWAPA FARAJA!MI HAINISTUI

    ReplyDelete
  27. Inasemekana Dakawa wengi hawajakanyaga darasani ndio maana unaona vituko. Bila elimu mtanzania atabakia hohehahe kama hao unavyowaona!

    ReplyDelete
  28. HIYO PICHA NI KWELI DALLAS MWAKA JUZI,NILIKUWEPO. AIBU TUPU!!!!!!!

    ReplyDelete
  29. hiyo ngoma ni dallas 100% dallasbongo party 2005, huyo demu ni mkenya na huyo wa pembeni yake walizamia kwenye party yetu.Dallas tuko fit, shule tunakwenda,magari mazuri tunaendesha, pamba ndio usiseme. Watu mlioko bongo mnatamaa sana lakini ndio hivyo tena visa siku hizi hazitoki poleni sana.
    dallasfinesty

    ReplyDelete
  30. Jamani hapo ni JJ BLUE pale nyuma ya best bite bongo kuna wakenya wanacheza uchi wachafuuuuuuuuuuu!!!

    ReplyDelete
  31. We anony wa 12:15 acha kashfa. Unafikiri kusoma shule U.S. kwa kujilipia ni rahisi? Semester moja inaweza kugharimu $6,000 au zaidi. Hapo ujala, ujalipa rent, ujalipa bills nyingine. Kujisomesha U.S. sio kitu rahisi, kwani hata wazawa wa hapa ni wachache wanaoweza kujisomesha kwa hela zao. Kusoma vyuo U.S. ni tough, sio kama watu kadhaa wanavyofikiria. Life in the U.S. is tough, and you will only know that when you live in the U.S. not through TV, or newspaper.

    ReplyDelete
  32. ACHA UHUNI NAMAJINA YAKO YA KISHAMBA.TANGU LINI DAKAWAIKALINGANISHWA NA DALLAS

    ReplyDelete
  33. wabongo wa US mmechoka! Rudini home nyie kenge, mtakanyag** huko, shauri yenu!

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 11, 2008

    and she's our very own...originally from DAR' her family took the heat after this
    photo was posted, it's unfortunate how our kids try to get americanized and completely forget
    their roots...pride,dignity and most of all how they were raised
    with proper culture.
    Jamani....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...