niko na`wana fm orijino enzi zake ndanda kosovo kichaa. siku hizi ni mambo ya ngwasuma...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ni wewe tu hujajichubua hapo Michuzi. Mambo ya wakongo si unayajua.

    ReplyDelete
  2. NI KWELI KABISA HAWA WA ZAIRE SIJUI VIPI, KWA KUJICHUBUA NDIO WENYEWE MPAKA WANAUME. WANAWAKE WA BONGO PIA HIVI HIVI SIKU HIZI KUJICHUBUA NAMBARI ONE.
    LAKINI ACHENI UTANI, WANA-NGWASUMA WANAMUZIKI WA NGUVU, SIO MCHEZO NA WANANENGUA ILE MBAYA, MPAKA SAID MWINYI, BENI MULOKOZI, CHALES MUTAWALI, SAMUELI MABIBA, WOTE NI WAPENZI WA HII BENDI.
    TWANGA PEPETA HAWAONI NDANI HAPO.

    ReplyDelete
  3. Mie ni mdada, wakongo hapa Brussel wanasumbua sana, na wamejaa kibao. Yani hata usipomjibu anakufata mpaka mtaa utaisha. Ati wako 'I will buy you a METRO my sister'. Nina 'BMW'. mh, makubwa, na wanalala kwa zamu hawana hela ya kulipa pango. Ila wanavaa utadhani sio ma kuli.

    ReplyDelete
  4. yeeeeeeeeeeees hapo umenena anony wa pili toka juu.
    WAKURUGENZI WANAPENDA HII BENDI, NA TUNAFURAHI WANAVYOISAPOTI. kuanzia BENI MULOKOZI, mzee wa manyumba mfanyabiashara maarufu na wa kuaminika. CHALESI MUTAWALI mzee wa magari, maana hata noma kwenda Dubai sikuhizi mambo makali yapo hapahapa bongo, unapata mkoko wa nguvu na bei poa kwa CHALESI MUTAWALI. ABBASI MWINYI PIA ni wa nguvu na mambo yako kwa dosh poa sana, SAMUELI MABIBA mfanyabiashara maarufu anamiliki visima vya mafuta ambavyo havikauki.
    naona niishie hapa.
    chonde chonde, baba zangu uuuuwiiii muziki mutamu huu. WANA-NGWASUMA HOYEEEEE , HOYEEE,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...