Home
Unlabelled
hoyce
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mmh digirii ya pilia au u CNA???? ,inabidi tukague vyeti , ila namfagilia sana huyu dem , kwanza bado shape ko bomba ana waka bado , anajaribu kutubadilisha wabongo tuondoe roho za kiuchoyo na kujijali sana, nakumbuka siku ana rudi bongo aliposhuka tuu airport , alienda kulala na watoto yatima na hapa namuoan Kinje naye kaalika watoto yatima, na dhani ni wanaleta mifano mizuri sana
ReplyDeleteKwa kweli huyu dada ninamkubali,karibu nyumbani dada katika kuitumikia nchi yako!!na umependeza sana ila usianzee kujiachia na musupu ya bongo utaharibika sasa hivi
ReplyDeleteAgalia na mijababa hapo mimacho inawatoka sana,hongera kwa degree yako ya pili dada wewe mungu akuzidishie na akujalie katika kuchapa kazi hapo home!!
NAMPENDA JOKATE MWENZENU!!!!
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteHuyo MC nafikiri mnamwita Jocket hajapendeza mimi sijaupenda mgauni wake ni mkubwa mno. He!
ReplyDeleteTafadhali wewe ustaadhi hapo juu, hoyce alilala na watoto yatima? r u serious?
ReplyDeleteSiku hiyo nilikuwa Airport, kmpokea jamaayangu, ndio nikaona Kina Lundenga na wengin wako hapo na wapiga picha, ndio nikauliza kulikoni, nikaambiwa wamekuja kumpokea Hoyce, naakitoka hapo na kwenda moja k amoja klala kwa watoto yatima, sasa sijui kama alikwenda au vipi , ila ndio ilikuwa ame panga kwenda ku spend a night with them, kama ni publicity stunt ni bora angalau ana fanya mambo kwa jamii ,maana hata hapo kwenye show, alitaka lazima aonekane alikuwepo na karudi maana mama huyu pamoja na Amina chifupa hawana tofauti, pamoja nashoga yake Jokate, maana wote wanapenda magazeti.
ReplyDeleteHabari za udaku nikamba anaolewa na bonge la billionere . hongera kama kweli.
Ni vizuri mtu akatambua talent yake iko wapi ili aikuze si kila mzungumzaji anaweza akawa mc au mtangazaji huyu Jokate kwakweli look for another area. Microphone si yako kabisa.
ReplyDeleteHana degree ya pili mbona mwaleta usanii?? Watu tunamjua Hoyce bwana we Michuzi kama huna uhakika uliza kabla hujapublisha habari.
ReplyDeleteJokate hongera sana mdogo wangu!mi naamini ulistahili kuwa miss TZ,basi tu bongo yetu tumeshaizoea.Hivi bado unaendelea kuimba na kusoma masomo St Peter's?Usibadilike tabia mdogo wangu,yaache hayo mapapa mengine,ndio yamelelewa hivyo!
ReplyDeleteDegree ya pili??!!!! mhhhh, hata mie hilo nalitilia shaka. huyu bibie anapenda sifa pamoja na kutumia vyombo vya habari kupublish sifa zake za uongo. nani asiyejua kuwa alivyorudi toka Miss World alidanganya watu eti kaingia Top 20 ya Miss world. hivi waungwana tangu lini kukawa na Top 20 katika mashindano haya? Haijawahi kutokea. misifa camp tu!!!
ReplyDeleteThis is cheap publicity. Huyu msichana sijui anataka kugombea ubunge na yeye! Sasa anatafuta mahali pa kujitangaza.
ReplyDeleteKwanza Michuzi wewe ni mwandishi wa habari kwa kutumia picha...sasa kama unaweka maneno pia do your homework kabla ya kuweka story....hiyo degree ya pili mhhhhhh.....??????