miss shinyanga na mmoja wa warembo walioingia tano bora katika fainali za miss tz 2005 jennifer john na mumewe inno wakisakata rhumba kwenye sherehe ya harusi yao leo usiku dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Kaka Inno hongera sana kwa kupata jiko pamoja na kutonialika bado nakutakia kila la kheri na mafanikio mema katika ndoa yako na mfanikiwe kuijaza dunia.

    ReplyDelete
  2. jamani maharusi mmependeza, mungu aibariki ndoa yenu.

    ReplyDelete
  3. wacha we hapo juu kulalamika kwamba hukualikwa kwani hukusikia kama anaoa,au ulitoa mchango ukakosa kadi,mbona bachela pati ilifanyika mpaka ughaibuni na Dar matangazo kibao kanisani

    ReplyDelete
  4. Dah safi sana miss wetu mfano mzuri sasa ww michuzi weka picha nyingi ili tupate kumuona tusio hudhulia na nimesikia mengi yalifanyika katika shughuli hiyo.Asante!!.

    ReplyDelete
  5. Ino Hongera sana...naona umeamua kuvuta Miss mambo yaishe? Vijana wa St. John's wote sasa mmeachana na ukapera. Hongera sana..Karibu sana Collegeville.

    ReplyDelete
  6. Anon wa kwanza hapo juu mzushi tu! Unataka ualikwe bila kutoa mchango! Si ajabu ulisikia ukajifanya kukauka, kwa kuogopa kuchanga. Maana bongo siku hizi michango ndo KICHOMI kinachoongoza kwa kutooa mifuko ya watu!

    ReplyDelete
  7. Saa Sunday, February 18, 2007 2:09:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous

    Demu ana kila kitu huyo na anaweza kufika mbali sana ila mambo mawili yazingatiwe

    1) wale mabingwa wa kuharibu watoto wadogo bongo wamuache kama alivyo wasije wakamuharibu kama wema sepetu, jenifer john, odemba, fideline iranga, " Jamani hamuchoki ?????"

    2) Naomba binti ukiwa famous usilewe masifa maana kudrop rahisi si unamkumbuka MWISHO?? ODEMBA na Wengineo wengi be proffesional focus on ur work

    ReplyDelete
  8. Bwana Inno hongera sana......fagilia Minnesota

    ReplyDelete
  9. hongera sana jeny, vp yule swahiba wako mkubwa (baby fancy) hakuwepo kwenye harusi maana hatumuoni au mmegombana??? vp kuhusu tabeqas au ulikuwa uzushi??

    ReplyDelete
  10. Inaonekana Bongo huwezi kushiriki umiss mpaka ufanane na taahira kwa chati sio?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...