Home
Unlabelled
jennifer
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Inno hongera sana kwa kupata jiko pamoja na kutonialika bado nakutakia kila la kheri na mafanikio mema katika ndoa yako na mfanikiwe kuijaza dunia.
ReplyDeletejamani maharusi mmependeza, mungu aibariki ndoa yenu.
ReplyDeletewacha we hapo juu kulalamika kwamba hukualikwa kwani hukusikia kama anaoa,au ulitoa mchango ukakosa kadi,mbona bachela pati ilifanyika mpaka ughaibuni na Dar matangazo kibao kanisani
ReplyDeleteDah safi sana miss wetu mfano mzuri sasa ww michuzi weka picha nyingi ili tupate kumuona tusio hudhulia na nimesikia mengi yalifanyika katika shughuli hiyo.Asante!!.
ReplyDeleteIno Hongera sana...naona umeamua kuvuta Miss mambo yaishe? Vijana wa St. John's wote sasa mmeachana na ukapera. Hongera sana..Karibu sana Collegeville.
ReplyDeleteAnon wa kwanza hapo juu mzushi tu! Unataka ualikwe bila kutoa mchango! Si ajabu ulisikia ukajifanya kukauka, kwa kuogopa kuchanga. Maana bongo siku hizi michango ndo KICHOMI kinachoongoza kwa kutooa mifuko ya watu!
ReplyDeleteSaa Sunday, February 18, 2007 2:09:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteDemu ana kila kitu huyo na anaweza kufika mbali sana ila mambo mawili yazingatiwe
1) wale mabingwa wa kuharibu watoto wadogo bongo wamuache kama alivyo wasije wakamuharibu kama wema sepetu, jenifer john, odemba, fideline iranga, " Jamani hamuchoki ?????"
2) Naomba binti ukiwa famous usilewe masifa maana kudrop rahisi si unamkumbuka MWISHO?? ODEMBA na Wengineo wengi be proffesional focus on ur work
Bwana Inno hongera sana......fagilia Minnesota
ReplyDeletehongera sana jeny, vp yule swahiba wako mkubwa (baby fancy) hakuwepo kwenye harusi maana hatumuoni au mmegombana??? vp kuhusu tabeqas au ulikuwa uzushi??
ReplyDeleteInaonekana Bongo huwezi kushiriki umiss mpaka ufanane na taahira kwa chati sio?
ReplyDelete