jk akiongea na wabongo usiku huu huko sitokihomu katika mkia wa jogoo wa kumkaribisha uswidi baada ya ziara yake ya ukerewe. wadau wala msikonde, japo niko minazi mirefu lakini latesti zote za rais wetu mpendwa mtapata hapa...
aidha, ratiba niliyonayo inaonesha asubuhi hii jk anakutana na mkurugenzi mkuu wa sida halafu atakutana na waziri mkuu kwa lanchi ya kikazi kabla ya kukutana na spika wa bunge la uswidi na baada ya hapo atakwenda kukutana na mfalme wa uswidi na halafu waziri wa maendeleo ya kimataifa. kesho atapiga stori na wafanyabiashara wa uswidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Sijui hao wananchi walikumbuka kupaka deodorant, maana hata kama walivaa suit, kama wanavikwapa mazingira hayakuwa mazuri, maana watu wangebana pua mpaka wafe. Waafrika kwa VIKWAPA, tunaongoza duniani........

    ReplyDelete
  2. Wale wanaosema JK anapenda sana safari waangalie hiyo ratiba halafu watuambie ni kipi hapo si cha muhimu. Au ni kipi ambacho angekifanya kwa simu!

    ReplyDelete
  3. we fala unayezungumzia deodorant inaonekana deodorant ndo zinakutoa. Inaelekea una kikwapa cha hatari! pole sana, nenda hospitali wakakupe tetra...

    ReplyDelete
  4. sio uhusiano wa kikwapa na picha hii, inaelekea we mgeni sanaaa kwenye mkia wa jogoo

    ReplyDelete
  5. Sometimes when you have nothing important to say it is better to keep QUIET! Just SHUT UP!

    Sasa hivyo vikwapa na hii picha vinauhusiano gani!? Duuh! Duniani kuna mambo!

    ReplyDelete
  6. kwenda zako wewe, unanuka mwenyewe. kama hujui kuoga ni wewe tu, wenzio sisi wasafi.
    deodorant haina kazi kwetu tunaojua kuoga.

    ReplyDelete
  7. Wewe Dr Mazengo mbona unapenda Sifa kweli, kitu gani kilichokutua Finland na kwenda kumpokea JK hapo Sweden,? kama sio ushambenga huo!!

    ReplyDelete
  8. Ukitumia cologne peke yake bila dedorant, kikwapa kitanuka tu. Kama hutumii deodorant, huwezi ku date demu mmarekani, kwani mademu wakimarekani hawawezi kuvumilia mtu anayenuka kikwapa. Waafrika kwa vikwapa, waulize wamarekani wanaofanya kazi na waafrika wakusimulie.........

    ReplyDelete
  9. we anonymous wa kwanza inaelekea una kikwapa kikali sana mpaka unaona watu kwenye picha unadhani wananuka kikwapa,inaelekea unatumia deodorant nzima kwa wakati mmoja kukata harufu ya kwapa lako,bedhuli mzima wewe.

    ReplyDelete
  10. Kama watu wanaotoa comments humu wako nje ya nchi, basi ndo utagundua kuwa wengi ni waosha wazee US, wabeba mabox, wachuma matunda Europe na kazi nyingine ambazo sio za proffesional kwani mtu mwenye kazi ya maana hawezi andika pumba namna hii na kupoteza muda. Mtu anayetaka kufanya study kuhusu IQ za hawa watu, tumia michuzi blog kama best and reliable data source.

    ReplyDelete
  11. Anon Feb 20, 4:00 umeongea point sana. Mtu anaweza kufanya study ya kiwango cha uelewa (IQ) za wabongo kirahisi sana kwenye hii blog. Maana kuna watu wanakurupuka na wanachoongea ni utumbo mtupu! Wengine, safi. Kama huna cha maana cha kuongeam SHUT-UP your mouth!

    ReplyDelete
  12. Anon Feb 20, 4:00 umeongea point sana. Mtu anaweza kufanya study ya kiwango cha uelewa (IQ) za wabongo kirahisi sana kwenye hii blog. Maana kuna watu wanakurupuka na wanachoongea ni utumbo mtupu! Wengine, safi. Kama huna cha maana cha kuongeam SHUT-UP your mouth!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...