
jk akiongea na wabongo usiku huu huko sitokihomu katika mkia wa jogoo wa kumkaribisha uswidi baada ya ziara yake ya ukerewe. wadau wala msikonde, japo niko minazi mirefu lakini latesti zote za rais wetu mpendwa mtapata hapa...
aidha, ratiba niliyonayo inaonesha asubuhi hii jk anakutana na mkurugenzi mkuu wa sida halafu atakutana na waziri mkuu kwa lanchi ya kikazi kabla ya kukutana na spika wa bunge la uswidi na baada ya hapo atakwenda kukutana na mfalme wa uswidi na halafu waziri wa maendeleo ya kimataifa. kesho atapiga stori na wafanyabiashara wa uswidi


Sijui hao wananchi walikumbuka kupaka deodorant, maana hata kama walivaa suit, kama wanavikwapa mazingira hayakuwa mazuri, maana watu wangebana pua mpaka wafe. Waafrika kwa VIKWAPA, tunaongoza duniani........
ReplyDeleteWale wanaosema JK anapenda sana safari waangalie hiyo ratiba halafu watuambie ni kipi hapo si cha muhimu. Au ni kipi ambacho angekifanya kwa simu!
ReplyDeletewe fala unayezungumzia deodorant inaonekana deodorant ndo zinakutoa. Inaelekea una kikwapa cha hatari! pole sana, nenda hospitali wakakupe tetra...
ReplyDeletesio uhusiano wa kikwapa na picha hii, inaelekea we mgeni sanaaa kwenye mkia wa jogoo
ReplyDeleteSometimes when you have nothing important to say it is better to keep QUIET! Just SHUT UP!
ReplyDeleteSasa hivyo vikwapa na hii picha vinauhusiano gani!? Duuh! Duniani kuna mambo!
kwenda zako wewe, unanuka mwenyewe. kama hujui kuoga ni wewe tu, wenzio sisi wasafi.
ReplyDeletedeodorant haina kazi kwetu tunaojua kuoga.
Wewe Dr Mazengo mbona unapenda Sifa kweli, kitu gani kilichokutua Finland na kwenda kumpokea JK hapo Sweden,? kama sio ushambenga huo!!
ReplyDeleteUkitumia cologne peke yake bila dedorant, kikwapa kitanuka tu. Kama hutumii deodorant, huwezi ku date demu mmarekani, kwani mademu wakimarekani hawawezi kuvumilia mtu anayenuka kikwapa. Waafrika kwa vikwapa, waulize wamarekani wanaofanya kazi na waafrika wakusimulie.........
ReplyDeletewe anonymous wa kwanza inaelekea una kikwapa kikali sana mpaka unaona watu kwenye picha unadhani wananuka kikwapa,inaelekea unatumia deodorant nzima kwa wakati mmoja kukata harufu ya kwapa lako,bedhuli mzima wewe.
ReplyDeleteKama watu wanaotoa comments humu wako nje ya nchi, basi ndo utagundua kuwa wengi ni waosha wazee US, wabeba mabox, wachuma matunda Europe na kazi nyingine ambazo sio za proffesional kwani mtu mwenye kazi ya maana hawezi andika pumba namna hii na kupoteza muda. Mtu anayetaka kufanya study kuhusu IQ za hawa watu, tumia michuzi blog kama best and reliable data source.
ReplyDeleteAnon Feb 20, 4:00 umeongea point sana. Mtu anaweza kufanya study ya kiwango cha uelewa (IQ) za wabongo kirahisi sana kwenye hii blog. Maana kuna watu wanakurupuka na wanachoongea ni utumbo mtupu! Wengine, safi. Kama huna cha maana cha kuongeam SHUT-UP your mouth!
ReplyDeleteAnon Feb 20, 4:00 umeongea point sana. Mtu anaweza kufanya study ya kiwango cha uelewa (IQ) za wabongo kirahisi sana kwenye hii blog. Maana kuna watu wanakurupuka na wanachoongea ni utumbo mtupu! Wengine, safi. Kama huna cha maana cha kuongeam SHUT-UP your mouth!
ReplyDelete