Home
Unlabelled
keisha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ni rangi yake halisi au mkorogo?
ReplyDeletewewe pumbafu hapo juu acha kufulu una muona huyo dada ni zeluzelu unasema kama mkologo acha ujinga
ReplyDeletewe hapo juu fala nini we huoni ni albino,au wewe ni steve wonder.
ReplyDeleteNaona wazungu wameingia bongo na kuanza kuchukua ajira za vijana sasa hata kwenye Bongo Flava.
ReplyDeleteSerikali inabidi iangalia. Manake hadi wamachinga siku hizi ni wachina. Ukienda kariakoo unawakuta kibao wakiuza vitu.
we anony wa saa 12:34 una upofu wa rangi nini? huyo Keisha ni zeru zeru sio mkorogo
ReplyDeletehiyo ni rangi yake halisi kutoka tumboni kwa mama yake, ila sio mzungu. ''genetic pigment ilikuwa low''. ila ana sauti nzuri mtoto huyuuuu, we acha
ReplyDeletemsije kuanza na comment zenu za kipumbavu maana mnadhani kila mtu anapenda mkorogo.Huyu dada ni albino(zeruzeru)!!Anaimba vizuri sana nampenda huyu dada kwakweli.Kip it up mdada
ReplyDeletewewe huyu dada ni albino, she is very cute mtake radhi
ReplyDeleteMwee!!! huyu ni zeruzeru sio mkorogo. Mkorogo mpaka miguuni si atamaliza mtaji
ReplyDeleteAnon wa kwanza hapo juu acha ujinga , tafadhali Michuzi idelete hiyo message ya kwanza kwa sababu it is disgusting.
ReplyDeleteWe anoy hapo juu, huyu dada ni albino sio mkorogo huo. Mtake radhi dada Keisha.
ReplyDeleteHuyu dada ni Albino wewe anon, lakini mambo yake ni makubwa. Yaelekea wewe umeondoka siku nyingi sana Bopngo, au kama sio siku nyingio basi wewe na kizazi kipya ni vitu viwili tofauti.
ReplyDeleteHaya natumai umeelimika sasa.Una swali lingine?
Ni hayo tu
Hakupenda Anon,ye ni Albino na si mzungu, kajaliwa kuimba dada huyu, na hata umbo pia ni mzuri.rrrrrrrr
ReplyDeleteYaani you guys all you can see is her skin being.... Pls try to look at the big picture, This young lady is beautiful. She has a pretty face, well figured and an amazing voice.Amependeza hata kwa mavazi zaidi ya hao akina lady JD wenye ngozi kamili
ReplyDeleteJamani I AM REALLY SORRY! Niiteni kipofu steve wonder au whatever! Sio kwamba nilikua nafanya makusudi au vipi mimi huyu dada sijawahi kumuona na I couldn't tell kama ni Albino kwenye hii picha. SAMAHANI SANA DADA YANGU I didn't mean it.
ReplyDeletenasikia mazeruzeru wakifa huwa miili yao inapotea, hivi ni kweli? Hili swali ni serious, sitanii au sina nia mbaya kuuliza hivyo. Kuna mtu kati yenu hapa aliyewahi kushiriki kwenye mazishi ya zeruzeru?
ReplyDeleteAnon 5:22 umeonesha utu uzima,hongera.Jamani huyu dada anasauti nzuuri,halafu ni mzuuri,na anatunga kweli.I wish ningepata CD yake.Mungu amzidishie.
ReplyDeleteAnon 2;323 hivi nikikwambia watu wenye jina kama lako wakifa wanapotea,utaamini na kuanza kuuliza watu kama ni kweli?kama huna ndg wala rafiki albino utamzika lini?don't be stupid,think!Albinism is just a defect of skin pigment,sasa wapotee kwa nini?Watu kama wewe Mwl Nyerere (the late)aliwauliza Nairobi,'hivi nikikwambia ......wako ni kichaa utatoka tu na kwenda kuandika ktk gazeti?.KMB
Keisha, endelea na kazi, Salif Keita, jina kubwa, pia hana melanin.
ReplyDeleteNimemfuma Keisha hapa
ReplyDeletehttp://photos1.blogger.com/blogger/1591/3185/1600/t%20(266).jpg