msanii wa kizazi kipya keisha akitumbuiza leo usiku kwenye shoo ya mitindo ya lady in red hoteli ya movenpik

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Hii ni rangi yake halisi au mkorogo?

    ReplyDelete
  2. wewe pumbafu hapo juu acha kufulu una muona huyo dada ni zeluzelu unasema kama mkologo acha ujinga

    ReplyDelete
  3. we hapo juu fala nini we huoni ni albino,au wewe ni steve wonder.

    ReplyDelete
  4. Naona wazungu wameingia bongo na kuanza kuchukua ajira za vijana sasa hata kwenye Bongo Flava.

    Serikali inabidi iangalia. Manake hadi wamachinga siku hizi ni wachina. Ukienda kariakoo unawakuta kibao wakiuza vitu.

    ReplyDelete
  5. we anony wa saa 12:34 una upofu wa rangi nini? huyo Keisha ni zeru zeru sio mkorogo

    ReplyDelete
  6. hiyo ni rangi yake halisi kutoka tumboni kwa mama yake, ila sio mzungu. ''genetic pigment ilikuwa low''. ila ana sauti nzuri mtoto huyuuuu, we acha

    ReplyDelete
  7. msije kuanza na comment zenu za kipumbavu maana mnadhani kila mtu anapenda mkorogo.Huyu dada ni albino(zeruzeru)!!Anaimba vizuri sana nampenda huyu dada kwakweli.Kip it up mdada

    ReplyDelete
  8. wewe huyu dada ni albino, she is very cute mtake radhi

    ReplyDelete
  9. Mwee!!! huyu ni zeruzeru sio mkorogo. Mkorogo mpaka miguuni si atamaliza mtaji

    ReplyDelete
  10. Anon wa kwanza hapo juu acha ujinga , tafadhali Michuzi idelete hiyo message ya kwanza kwa sababu it is disgusting.

    ReplyDelete
  11. We anoy hapo juu, huyu dada ni albino sio mkorogo huo. Mtake radhi dada Keisha.

    ReplyDelete
  12. Huyu dada ni Albino wewe anon, lakini mambo yake ni makubwa. Yaelekea wewe umeondoka siku nyingi sana Bopngo, au kama sio siku nyingio basi wewe na kizazi kipya ni vitu viwili tofauti.

    Haya natumai umeelimika sasa.Una swali lingine?

    Ni hayo tu

    ReplyDelete
  13. Hakupenda Anon,ye ni Albino na si mzungu, kajaliwa kuimba dada huyu, na hata umbo pia ni mzuri.rrrrrrrr

    ReplyDelete
  14. Yaani you guys all you can see is her skin being.... Pls try to look at the big picture, This young lady is beautiful. She has a pretty face, well figured and an amazing voice.Amependeza hata kwa mavazi zaidi ya hao akina lady JD wenye ngozi kamili

    ReplyDelete
  15. Jamani I AM REALLY SORRY! Niiteni kipofu steve wonder au whatever! Sio kwamba nilikua nafanya makusudi au vipi mimi huyu dada sijawahi kumuona na I couldn't tell kama ni Albino kwenye hii picha. SAMAHANI SANA DADA YANGU I didn't mean it.

    ReplyDelete
  16. nasikia mazeruzeru wakifa huwa miili yao inapotea, hivi ni kweli? Hili swali ni serious, sitanii au sina nia mbaya kuuliza hivyo. Kuna mtu kati yenu hapa aliyewahi kushiriki kwenye mazishi ya zeruzeru?

    ReplyDelete
  17. Anon 5:22 umeonesha utu uzima,hongera.Jamani huyu dada anasauti nzuuri,halafu ni mzuuri,na anatunga kweli.I wish ningepata CD yake.Mungu amzidishie.
    Anon 2;323 hivi nikikwambia watu wenye jina kama lako wakifa wanapotea,utaamini na kuanza kuuliza watu kama ni kweli?kama huna ndg wala rafiki albino utamzika lini?don't be stupid,think!Albinism is just a defect of skin pigment,sasa wapotee kwa nini?Watu kama wewe Mwl Nyerere (the late)aliwauliza Nairobi,'hivi nikikwambia ......wako ni kichaa utatoka tu na kwenda kuandika ktk gazeti?.KMB

    ReplyDelete
  18. Keisha, endelea na kazi, Salif Keita, jina kubwa, pia hana melanin.

    ReplyDelete
  19. Nimemfuma Keisha hapa
    http://photos1.blogger.com/blogger/1591/3185/1600/t%20(266).jpg

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...