Home
Unlabelled
kilima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimekubali, jamaa kweli wanafanya kazi, na jiji linapendeza. Benges umehamia wapi sasa? Pole mzee!
ReplyDeleteHii picha safi sana Michuzi! Nimepita hapo hata jana tu, lakini sikuwahi kufikiri engo hiyo ya picha.
ReplyDeleteMi nimeanza kuinua majembe, narudi shamba.Jana hukuwa hewani muda mwingi. Likizo Njema!
eh HAPA UKIPITA NA GARI FASTER FASTER URODA!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMIchuzi na wana blogu naomba mnieleweshe kawani sijaelewa hii picha imepigwa kutokea upande gani wa kilima nyege, ukiangalia mbele kwa makni unaona kama barabara inakuwa T junction fulani na mimi ninavyopajua pale ile barabara inaendelea hadi kwenye mataa ya kuingia salender bridge na upande mwngine inaelekea kinondoni. Sasa hii picha imepigwa kutoka upande wa k'ndoni au mjini?
ReplyDeleteNimpepita hapo mara nyingi sana enzi zangu lakini nashangaa eti pana nichanganya sasa hivi.
Hiyo barabara ya inakwenda masaki ukikata kulia na ukikata kushoto unakwenda Oysterbay beach
ReplyDeleteHicho kilima kwa kweli wee acha tu.
ReplyDeleteNakumbuka enzi hizo Mzee alikuwa anatupandisha wenye Combi lake akifika sehemu hiyo watoto wote tunafurahia halafu tunanyamaza kimya maana hatuwezi kumwambia arudi nyuma ili tuchekelee. Mwisho akagundua kwamba tunaogopa kumwambia,so akaamua badala ya kwenda naye yeye akamwachia dereva awe anatupeleka beach. Matokeo yake hatwendi beach tunamsumbua kaka wa watu arudie pale pale ili tufurahie.
Aaagh,umetukumbusha mbali sana kwa hakika.
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteWe anon wa hapo juu Feb 24,2007,2:13:00 acha kuchemka hivo,hapo ni Masaki,hata kibao kinaonekana ukisoma kimeandikwa Masaki????hujaona hapo????sio kinondoni hio bwana,hapo jamaa amepiga picha hio akiwa karibu na Resident ya balozi wa Rwanda, karibu na Jack's Bar pale Oysterbay,upo kijana,da kuna mbuzi watamu sana wakuchoma pale,ninawamiss kweli,naskia Jack's haijatolewa na kweli michuzi????? jina la barabara ni haile selasi inakutana na barabara inayotekea Slipway,kuelekea Coco beach au jina la barabara ni chole road
ReplyDeleteKulia kwa hiyo gari kubwa kama unatazamana nayo uso kwa uso kuna Dar International school. Palikuwa na vurumai nguo kuchanika wakati wa uhai wa vibanda hivyo.
ReplyDeleteHii ni ma home enzi hizo....wow wameclean the town well...GOOD JOB!!
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteNdio hiyo pucha imepigwa kwenye junction ya Haileselasi Road(helufi mmmh) na hapo camera ilipo kuna T junction ya msasani road. Hapo mbele hiyo T junction ni Turn kushoto kwenda Upande wa huko wa Masaki na turn kulia waenda Oysterbay beach. Pia International School ipo hapo kwenye T (+) kwenye plus hiyo top left
ReplyDeleteMICHUZI PLEASE PLEASE POST PICHA ZA MA SHOPPING MALL, RESTAURANTS ETC ANYTHING KWA NJE CANT WAIT