mabinti wa ahmed na sango kipozi wanaojulikana kama unique sistaz kwa ustadi wao katika kuimba na kucheza. nasikia mmoja wao kaolewa juzi na mjapani. mdau mwenye data atupatie...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. ni kweli Radhia (wa katikati) ameolewa na Mjapani na ilibidi Mjapani wa watu abadili dini kuwa Muislamu. Kila la heri kwao

    ReplyDelete
  2. Kina dada jamani, yaani kuolewa na wageni wanaona siiiiiiiiifa. Mjapani wa nini?? Kisa wanajiona babu kubwa kwamba hamna mbongo anaweza kumchukua. HUku kwa Bush wenzenu wanawaficha wa-west Africa wao; sio ujiko tena. Bao tu; hamna kutoka na Mnigeria hadharani. Mkisalimiana tu, ooh mi mtoto wa king of Abuja.... Dada yetu huyu aliambiwa huyo Mjapani mjukuu wa Toyota

    ReplyDelete
  3. Acheni wivu, nyie wanaume mkichukua mademu wa kizungu halali, mkiona dada zenu wamevuka mipaka basi wivu kibao. Globalization hii wacha na dada zetu waende watakako

    ReplyDelete
  4. DUH! ACHENI UTANI, WANA SURA MBAYA HAWA, UWIIII.
    NAMSAPOTI ANONY HAPO JUU, BWANA KUOLEWA NA MAFOREGNER SIO UJIKO, HASA WANAIJERIA. KUSHOW OFF TU, KILA MNAIJERIA UNAYEKUTANA NAYE ANAKWAMBIA YEYE BABA YAKE NI CHIFU. AU KING FULANI, MATAPELI SANA NA BADO TU MADADA ZETU WANAINGIA MKENGE, NA SIO WANIJERIA TU, HATA WAGHANA NI MATAPELI KUPITA KIASI, TENA WA KICHINICHINI, BORA WANAIJERIA WAKO WAZIWAZI HAWAJIFICHI.

    ReplyDelete
  5. kaolewa na SUZUKI, magari yote ya SUZUKI ni ya kwao! mlie tuu!! hahaha!!

    ReplyDelete
  6. Vipi VIJANA wa kwa Bush huko USA, inaelekea wanigeria wanawaliza sana kwa kuwachukulia dada zenu, nanyi mwaishia kumeza mate tu! Poleni sana!! Nanyi jiiteni watoto wa Chief Meriale au Mkwawa au Rumanyika etc. hehehehehe

    ReplyDelete
  7. TII HAWA WATOTO WANA SURA MBAYA SANA ESPECIALLY WAKATI NA WAKULIA... NA WANAKOSEA SANA UKIWA NA MIDOGO MIKUBWA UNATAKIWA KUPAKA LIPSTIC ZISIZOSHOUT ... SIO TENA SILVER TIIII!!!

    WELL KUHUSU KUOLEW HONGERA MDOGO WANGU ... NA WENYE VIJIBA VYA ROHO WATASEMA MPAKA WACHOKE... NI VERY PERSONAL CHOICE KUAMUA KUOLEA NA NANI NA WAPI .. SOMETIMES SISI WANAWAKE TUNAONA BORA KUOLEWA NA MATAIFA MENGINE KULIKONI KAKA ZETU WA TZ KWANI TABIA ZAO TUMESHAZICHOKA SO BORA TUKAANZE NA TABIA ZINGINE.. WHO KNOWS NYINGI ZINABEBEKA.. NA FOR UR INFO SIO TUNAFAGILIA SANA INATEEMEA NA MAPENZI YAKOJE KWAHIYO WHO EVER WROTE HAPO JUU NI WIVU TUU... NYANG'AU WAKUBWA NYIE...

    WE MTOTO WA KIPOZI PETA PETA TUU WANGU HII MIJAMAA ITABAKI NA WIVU MKALIIII...

    MUNGU AKUBARIKI NDOA YAKO IDUMU NA UZAE WATOTO AMBAO NAHISI SURA ZAO ZITAKUWA ZA KICHINA..TEHETEEEE TIHIIII

    ReplyDelete
  8. Ataweza kweli wajapan hawaendi jando na ni wadogo wadogo.

    ReplyDelete
  9. kwa nyie wote mnaozungumzia sura mnashangaza, ni vitu ambavyo mtu amejikuta amezaliwa hivyo na wezi kujibadilisha kama nyie mnao jiona mmeumbika dada zangu msijisikie vibaya kwa hayo maneno yasio ya kiungwana. Kwa huyo aliye oliwa namtakia baraka na mungu aibariki ndoa yako na watoto wako.Na fikiria wengi tuandikao haya mambo tunakaa ghaibuni inaonyesha tunavyo shindwa kuwa wastarabu licha ya kuishi na watu wastarabu lini tutastarabika?

    ReplyDelete
  10. Duh! wanatisha...wabaya kinoma..Itakuwa labda sura ya baba yao?

    ReplyDelete
  11. usililie uzuri lilia bahati. wewe mwenye sura nzuri mbona bado umechina? hata wa kukwambia HI hauna. Namtakia ndoa njema.

    ReplyDelete
  12. Sura kama askari wa zamani ndio maana wamekosa soko hapa tz.

    ReplyDelete
  13. KIPOZI FAMILY,
    ANATAMO NAMAEWA MBONGO.
    RADHIASAN "LONG LIFE".
    ALIGATO GHOZAIMASI.
    WAKARIMASHTA !!!! HAI....
    WAKARINASAI....YOKOHAMA.
    SAYONARA.

    ReplyDelete
  14. Jamani hawa wana sura mbaya sijawahi kuona. Ndio maana ametimkia Jep Bongo ingekuwa ngumu kupata mtu.

    ReplyDelete
  15. Kwa mtaji huu wa sura, huyu sista janja sanaa kwani wajap hawaangalii cha sura. Ila hawa watoto kawaharibu baba yao yule msoma habari kwenye TV na jicho limemtoka. Any way, kwa mjap kapata lakini wajap kila kitu chao ni kidogo dogo, so huyu sista kama amezoea mitulinga ya kibongo kuna kazi vinginevyo akicheka tu kadude kanachomoka. Gambate kudasai

    ReplyDelete
  16. Hahahha. Jamani. Ndio ni wabaya hatujakataa ila jamani wapeni break, ni human being na wanajisikia vibaya kushambuliwa kihivyo...Hongereni ila jiandae bidada maisha ya ndoa si lelemama hata wajapani wana mambo yao ya kimila, na mawifi na mama mkwe utawakuta tu huko..Jiandae...

    Ila mmesikia Kinje Ngombale Mwiru anaoa kesho mtoto mbichiiii wa miaka 18 yani Kinje kamzidi huyo bidada ambae baba na mama yake nawajua (The Kizitos), miaka 20!!!!

    Changieni hilo

    ReplyDelete
  17. Hivi nyie hamuogopi Mungu kwa kulosoa binaadamu wenzenu?nyie mnajijua kama ni wazuri sana eeh?wewe kwako mbaya kwa mwenzio mzuri,na kama unajiona mzuri kuna wenzako wanakuona MBAYA BIG TIME....so stop this NONSENSE!!!!!,kumbukeni mtakuja kuzaa na nyie,mtaoa au kuolewa na ma handsome/beautiful lakini mtakuja kuzaa VITUKO....stop this Hamuwezi kumkosoa Mungu aliependa wewe uwe hivyo na hao kuwa hivyo.Na what matters ni Tabia njema as BEAUTY DECEIVES,kama utaolewa au kuwa na mtu just because ni handsome/beauty and there's no Love,Respect basi unacheza makidamakida.RADHIA I WISH YOU ALL THE BEST,AND UNIQUE DADAZ KEEP IT UP,KATIKA WANAMUZIKI WA KIBONGO NYIE MNAJI-RESPECT SANA....Hongereni na Mshukuruni Mungu kwa hilo

    ReplyDelete
  18. Na wao kweli wamekubali kaka michuzi awatoe kwenye blog, au hawajijui?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...