
binti mkubwa wa rais yoweri kaguta museveni wa uganda, natasha, akiongea na waandishi kampala wakati wa mashindano ya 'sura ya afrika' ambayo ndo yalimtoa miriam odemba. wakati huo natasha alikuwa ni mmoja wa wabunifu wa mitindo ambapo kampuni yake ya house of keine ilishiriki. dada huyu, kama alivyo mama yake, ameokoka na anaheshimika sana uganda


huyu binti ashapelekwa germany kwa presidental jet kwa ajili ya kujifungua, ati uganda hakuna usalama! zaidi ya dola 150,000.00 zilitumika kwa safari hiyo!!jamani kweli mwenye nacho huongezewa na afrika huliwa na wenye meno!!
ReplyDeleteKama kaokoka mbona anazini?
ReplyDeleteMtoto mzuri kama huyu hata babake angekataa kumlipia hizo dola 150,000 mimi ningemlipia.Mtoto kapoa.Mtoto kama huyu huwezi peleka ajifungulie hospitali za vichochoroni.Anaweza kubakwa wakati anajifungua na madaktari waliojaa uhanga!!
ReplyDeleteKIKWETE, MWAI, BINGWA WAMTHARIKA,KAGAME? JAMANI WEKENI MABINTI ZENU TUONE NANI ZAIDI? AKINA JAY Z MNAONA TOTO LA KIAFRIKA? MICHUZI NIMEONA WATOTO WAZURI LAKINI HII PRODUCT NI MALIDADI SIYO SIRI KAUMBIKA KUANZIA MIGUU HADI SURA. HEE HONGERA SANA MUSEVI KWA KUTOA SYMBOL YA AFRICA...BEYONCE AMA J LO HAKUNA KITU!
ReplyDeleteJamani mkao wake unanipandisha nyege.Wanamaombi naomba mniombee Mungu aniokoe na mimi niokoke nyege zipungue.
ReplyDeleteNaogopa nyege zikiendelea hivi nitaenda jehanamu wallahi !!!Yaani zinanipanda hadi macho naona giza na nashikwa na kigugumizi nashindwa hata kuongea.
Afadhali Michuzi una unafuu naona umeshikilia kipaza sauti ukimhoji binti huku unatetemeka kiunoni kama vile una malaria kali ya kiunoni vile! Si uwapishe na wengine wamhoji mbona umeganda tu kama sanamu hapo? Umeshikwa na mfadhaiko nini?
Hasheem Thabeet
ReplyDeleteFrom Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
Hashim Thabit Manka (born February 16, 1987 in Dar es Salaam, Tanzania), is a college basketball player for the University of Connecticut Huskies. He is known as Hasheem Thabeet, as his name was Americanized from Swahili. At 7'3" and 265 lbs, Thabeet is the tallest player to ever play for the Huskies.[1].
[edit] Playing at UConn
Hasheem Thabeet once stepped on 6'0 Guard and teammate Doug Wiggins in practice, causing painful but not serious injuries to his spine and ankle.
It is believed that once Hasheem matures and further developes his skills, then he will be able to be a dominant factor in the NBA.
On December 3, 2006, Thabeet tied a UConn record with 10 blocks[2].
Hasheem Thabeet currently averages: 24.4 mpg 7.2 ppg 7 rpg .7 apg 2 tpg .34 a/tpg .3 spg 4.3 bpg, 2.4 pfppg
mtoto wa kitusi huyo sio mbantu
ReplyDeleteNakubaliana na Anon hapo juu,ni kweli alikimbizwa kujifungua Germany!Africa bwana,Yaani Wagannda ndio kwanza Misupu anatuambia wanamuheshimu sana,wamesahau kodi zao alizochezea kwa msaada wa baba yake.
ReplyDeleteLakini uache utani,dah!dada mzuri jamani,ana figa ya nguvu.ukisikia namba nane ndio hii sasa
Anon hapo juu, we ulikuwa hujui kwamba mwenye nacho ndo huongezewa? Nchi inajengwa na wenye moyo, inaliwa na wenye meno!!ndo maana wewe kama ni mtoto wa mkulimwa bado safari ni ndefu..inabidi ujitahidi uwatoe jamaa zako..hata kama usipowapa msaada wa direct ila wakitumia jina lako watafaidika. Certainly M7 alitoa justifications za kumpeleka huyu dada Germany kujifungua, personally sikuridhika but since nothing we can do, basi tujitahidi na sisi katika tuyafanyayo tuondokane na umaskini. Kwa M7 alichokifanya sio kigeni kwa Afrika..atleast wananchi walijua..maana wengine wana mabillions huko Geneva ambako sisi hatujui ni wao na familia zao!!
ReplyDeleteIla huyu dada ni mtusi wa nguvu!!! Jamani she is beutiful!!! Haya dada kazi ya Mungu haina makosa!!
Huyo anonymous wa hapo anayependa kuandika mambo ya Thabeet, anaonekana hala la kufanya huku. Wadau wote wanaokaa huku wanaifahamu NBA na hakuna mtu anayebabaika ya kufuata maisha yake.Hata kama Thabeet atakuwa kama Shaq au nani, wewe atakusaidia nini? kisa kutoka nchi moja? Nakushauri fuata maisha yako ili uweze kusaidia ndugu zako Bongo, vinginevyo michuzi tulete hoja za kiafrika huku Ughaibuni.
ReplyDeleteMzuri ni mke wangu tu ambaye namjua mpaka kule ndani kulivo kusafi.....huyu anaweza akawa mzuri kwa sura lakini tabia yake ni zero subirini baba yake aache urais na kuanza kukabiliwa na tuhuma za ufisadi kama utamuona mzuri hivo...ujue hapo ni fedha za walipa kodi wajinga wa uganda ndizo zinatumika kumuwekahivo na si vinginevo...akianza kupigwa jua huyo atachakaa...uzuri kitu gani bwana...mmeiona ishu yake kwamba haina harufu? ikishatikiswa? Acheni ujinga wa kuangalia sura wakati hujatikisa.....ukitikisa tu room nzima harufu week nzima inabidi upige ma-air fresher ya kufa mtu......uzuri sio mzuka ila down zingatieni jamani...mmmh loooh mtakufa?
ReplyDelete