masudi, bingwa wa shindano la sura mbaya kuliko wote bongo,

akipozi na mashabiki wake. dokta remmy alikata rufaa kwamba jamaa kapendelewa....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. jamaa anapatika Bonga bar iliyopo mitaa ya Ilala Shariff shamba, siku hizi ndio amezidi kuwa mbaya

    ReplyDelete
  2. MICHUZI.... acha kututisha bwana mchan wote huu. Haya huyo Kebby na Jerry ndio nini sasa? au wao ndio walikuwa wadhamini wakuu?

    ReplyDelete
  3. huyu ubaya wake nafikiri ulikuwa sio wa asili ndio maana Remmy alipinga,maana jamaa ubaya wake umetokana na ugonjwa wa ngozi na ndonya sijui mapengo akiopen huo mdomo otherwise he is handsome na innocent kuliko hata huyo Jerry na Kebby.

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  5. Ni kweli huyu jamaa anaumwa UKOMA, halafu pusti, na jinsi ule ugonjwa ulivyo lazima ukubadilishe taswira tu. ndio maana baba wa taifa akasema'' WAOGOPEWE KAMA UKOMA'' huyu jamaa anatisha bwana mwache amshinde Remmy.

    ReplyDelete
  6. Aye, dude is flat out ugly. Hands down the ugliest ever.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...