
modo wa kibongo cynthia masasi na rafikiye hivi wakiwa huko atlanta. bonyeza hapa uone vitu vyake zaidi...
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wewe Michuzi, sometimes you gotta look at the picture before posting. Unaharibu hadhi yako. Huyo ni Cynthia na rafiki yake wa Florida. Sio Imani supermodel mstaafu (David Bowie's wife). Do some research Bro. Usipende hao wapenda sifa wakuharibie "the best blog in the world". Achana nao kina Cynthia wanapenda sifa na kukuambia kapiga picha na Imani. Shikilia heshima yako.
ReplyDeletemasasi cheki uzito hautakupeleka mbali,ulaya watu wana obsessiona na wembamba.
ReplyDeleteHAYA TENA, HUYU CHANGU ANATOKEA TENA KWENYE BULOGU, MICHUZI NAONA ANAFURAHIA HYPE.
ReplyDeleteNA MIWANI HII NDIO FASHION? KUWAIGA KINA MRS BECHAM, NA J.LO.
MAANA HATA SASA HIVI MWANAMKE MPYA ANAYETOKA NA PETER RUPIA, ANAVAA MIWANI MIKUUUUUUUUUUUUBWA. MAMBO HAYO.
Saa nane na dakika arobaini na tatu usiku...hao machangu wametinga miwani ya jua...we wacha tu
ReplyDeletenaona michu umeona wageni milioni wanachelewa umeamua umuhusishe mdau mkuu na mmiliki mwenza wa blog cyncia masasi hakuna shaka kaka tutafika!
ReplyDeletehuyo dada mwingine siyo alikuwa anakaa kinondoni block 41? alikuwa mwizi mwizi akilala na mwanaume lazima amsachi sijamuona sikunyingi huku
ReplyDeleteKwa sasa hapa Amerika (katika nyanja za wabuni wa mavazi, modelling, and advertising) kuna hoja inaendelea kuhusu mamodo wenye kukonda mithili ya vunjajungu anaopigwa vita in favour ya mamodo wenye umbo la kawaida. Sijui malumbano yatafikia wapi!
ReplyDeleteCynthia, labda, shikilia uzi ule ule wa umbo lako.
hapa wako kwenye changus nite nini? machangu hao
ReplyDeletewa2 kwa uchawi hamuachi?hiyo ndio fashion ya siku hizo miwani mikubwa mikubwa tuu.cynthia kamua mbayaaaaaaaaaaaa ndio maana ya kuwa supa staa.
ReplyDeletemichuzi kuna picha yako wewe na cynthia kule tanzatl.org umeandika mimi na my girlfriend umeisha iona?mmependeza saana wewe na cynthia masasi.
ReplyDeletewenye wivu wajonyonge hata hapa bongo wa2 tunakula miwani.kina dada mmependeza saaaaaaaaana tuu waacheni wanga wafe.
ReplyDeletemichuzi nakuheshimu sana braza, ila kila unapoweka picha ya dada yangu huyu unanitia sana hamu, ngoja na mimi niropoke kidogo maana najizuia mno nashindwa,
ReplyDelete"**@~#£!¬...++*^¬%4$>,~...."
DO AFADHALI NA MIMI NIMELITOA LANGU
KAMA KWA UZURI CYNTHIA MASASI NI MZURI JAMANI TUACHENI UNAFIKI HAA.
ReplyDeletecynthia masasi nakupenda saaana kama navyopenda ugali wa muhogo na mlenda.wewe bomba bwana wala usisikilize maneno ya washenzi hao hawana kazi za kufanya wana-wish uwe dada yao.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteCynthia unakumbuka Bugando Mwatex Houses?Your are doin' good.Hongera saana.all the best.HM
ReplyDeleteCynthia unakumbuka Mwanza Sec na Bugando flats.You are doin' good.congratulations,keep it up
ReplyDeleteHi Cynthia,congratulations.Unakumbuka Mwatex flats na Mwanza sec,mambo yalikuwa super,HM
ReplyDeleteHi cynthia,congratulations.unakumbuka mambo ya Mwatex flats na Mwanza sec?keep it up!wewe ni mwisho
ReplyDeleteWewe ni mwisho!you are like precious mineral.HM
ReplyDeletehuyu PETER naye hana mpango, wala hajakosea anonymous hapo juu, ni kweli ana mwanamke mpya sasa, hata ajifiche vipi anaonekana na ni kweli anapenda kuvaa mawani makubwa kama bakuli.
ReplyDeleteMwanaume ana tamaa sana huyu, girlfriend wake kumpa mgongo tu kurudi UK, tayari anamwanamke mwingine wa kupast time mpaka atakaporudi.
Hatujui kwanini anamvumilia kijana kama huyu. Ah! mie maskini jeuri bwana hata kama amemjengea nyumba, ingekuwa mie ningempiga buti tu. hana maana. ndio maana mke wake alimdhalilisha hapa mjini.
hivi wee michuzi unajua maana ya SUPAMODO? huyu ni video whore not a fashion model!!! utafungwa shauri yako
ReplyDeleteACHENI KULETA HADISI ZA ABUNUWASI HAPA JAMVINI.
ReplyDeleteMMEANZA KUMSAKAMA PETER RUPIA, HAMJACHOKA TU? HUYU BWANA HAMUMUWEZI HATA MFANYE NINI, MMEPIGA VITA SANA, TALK ABOUT STANDING BY YOUR MAN. HIS REAL WOMAN IRENE KNOWS. MMEMSAGIA WEEEEE LAKIIIIIIIIIIIIIINI KILA LIKIZO TOTOZ INAINGIZANA BONGO NA WAKO BENETI TU, WANANG'ARA TU.
WEWE UNAYEJIFANYA NI MASIKINI JEURI HATA KAMA PETER ANGEKUJENGEA NYUMBA UNGEMPIGA BUTI TU? USITAKE KUCHEKESHA WATU HAPA, MANENO YA MKOSAJI HAYO, WEWE ULIE TU.
BONGE LA BANGALOO PETER KAMJENGEA GIRLFRIEND WAKE MBEZI, NA SASA INAMIKARABATI.
WIVU TU UNAWASUMBUA NYIE. HATA KAMA MKEWE ALIMWACHA, INAWAHUSU NINI? MNAONA SIFA ANNA ALIVYOMWAIBISHA PETER KWA KUTOKA NA MZUNGU NA BAADA YA MZUNGU AKATOKA NA MWAFRIKA PIA? KWA TAARIFA YENU, SIFA YA MWANAMKE MWEMA SIO HIVYO. TUNASEMA PAMOJA NA KUITWA MJINGA, IRENE ANAHESHIMA YAKE. NA WANENGA WALINENA KUWA MVUMILIVU HULA MBIVU.
ACHENI KUBWABWAJA UTUMBO HAPA, NENDENI MKAVUTE BANGI ZENU, MUKAKOJOE, MUKALALE.
LEAVE THEM ALONE. MAANA MESHAIBUKA NA STORY HAPA KUWA ANA MWANAMKE MPYA, JE MUNAUHAKIKA GANI? JE MMESHIKA PETER UGONI?
IRENE MAMA ALUTA KONTINUA, FUNGA ROHO, ACHANA NA WAKUDA HAWA, NI WAZI HAWANA KAZI YA MAANA, KULIKONI.
anonymous wa 10:15 inaonekana wewe ndio PETER RUPIA, u ANNA, maana umejieleza saaaana....ila poa kama ni mshika pembe wake maana inalipa pia bongo..
ReplyDelete