siku mzee wetu mpendwa alipofunga ndoa na mh. anna kilango

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Chela Boy mwee, mzee wetu kawa kijana, nafikiri ndoa hii itamuongezea maisha. "Malecela Mungu ampe maisha marefu kwa uongozi..." Tukiimba enzi zetu.

    ReplyDelete
  2. Ndoa hiyo inaweza kumuua mapema pia. Mama akiamua kucheza pembeni shauri ya kukosa huduma zote kwa mzee, si mzee mzima atakufa kwa pressure?

    ReplyDelete
  3. KWELI MWANAUME MWANAUME.............SINA LA KUSEMA.

    ReplyDelete
  4. HE huyu siyo askofu millingo wa zambia kafunga tena ndoa?heee

    ReplyDelete
  5. Kwani hili zee ni nani??? Mbona na wewe haupo OPEN unasema kimafumbo. Wengine hatumjui huyu.

    ReplyDelete
  6. Kwani hili zee ni nani??? Mbona na wewe haupo OPEN unasema kimafumbo. Wengine hatumjui huyu.

    ReplyDelete
  7. 'Ng'ombe hazeeki maini' wahenga walisema

    ReplyDelete
  8. Yes mzee wetu John Samuel Malecela, heshma yako daima.

    ReplyDelete
  9. Huyu mzee ni ''Embe lililoivia mtini taaaamu''. Alikuwa anasema wakati wa mchakato wa kumtafuta mgombea wa CCM mwaka juzi. Kweli huyu tunda maana Bibie kaisha hapo

    ReplyDelete
  10. jamani watanzania tuwe tunarudi home japo kidogo, tazama huyo anon hapo juu hamjui huyu mzee! Huyo anaitwa mzee John Samwel Cigwiyemisi Malecela na Kwa kumsaidia zaidi nampatia na CV yake!


    Education
    Secondary Education - Minaki secondary school 1957-1958
    Bachelor of Commerce - Bombay University 1958-1959
    Post Graduate Studies - Cambridge University 1961-1962
    Ph.D. Honoris Causa (Humanities) - University of Texas 1977

    POSITIONS HELD
    Tanzania Permanent Representative to the United Nations - 1964-1966
    Tanzanian Ambassador to Ethiopia and the OAU - 1967
    Minister of Foreign Affairs - 1972-1973
    Communication and Transport - 1973-1974
    Mineral Resources and Agriculture 1975-1975
    Minister in the East African Community - 1975-1976
    Regional Commissioner of Iringa - 1980-1984
    Member of the Group of Eminent Persons of the Commonwealth on South African situation - 1985
    Tanzanian High Commissioner to the United Kingdom - 1989-90
    Prime Minister and First Vice President 1990-1994
    Vice Chairman of the ruling Party, Chama cha Mapinduzi (CCM) - 1995 to date
    Member of Parliament for Mtera - 1990 to date

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...