Home
Unlabelled
mzee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Chela Boy mwee, mzee wetu kawa kijana, nafikiri ndoa hii itamuongezea maisha. "Malecela Mungu ampe maisha marefu kwa uongozi..." Tukiimba enzi zetu.
ReplyDeleteNdoa hiyo inaweza kumuua mapema pia. Mama akiamua kucheza pembeni shauri ya kukosa huduma zote kwa mzee, si mzee mzima atakufa kwa pressure?
ReplyDeleteKWELI MWANAUME MWANAUME.............SINA LA KUSEMA.
ReplyDeleteHE huyu siyo askofu millingo wa zambia kafunga tena ndoa?heee
ReplyDeleteKwani hili zee ni nani??? Mbona na wewe haupo OPEN unasema kimafumbo. Wengine hatumjui huyu.
ReplyDeleteKwani hili zee ni nani??? Mbona na wewe haupo OPEN unasema kimafumbo. Wengine hatumjui huyu.
ReplyDelete'Ng'ombe hazeeki maini' wahenga walisema
ReplyDeleteYes mzee wetu John Samuel Malecela, heshma yako daima.
ReplyDeleteHuyu mzee ni ''Embe lililoivia mtini taaaamu''. Alikuwa anasema wakati wa mchakato wa kumtafuta mgombea wa CCM mwaka juzi. Kweli huyu tunda maana Bibie kaisha hapo
ReplyDeletejamani watanzania tuwe tunarudi home japo kidogo, tazama huyo anon hapo juu hamjui huyu mzee! Huyo anaitwa mzee John Samwel Cigwiyemisi Malecela na Kwa kumsaidia zaidi nampatia na CV yake!
ReplyDeleteEducation
Secondary Education - Minaki secondary school 1957-1958
Bachelor of Commerce - Bombay University 1958-1959
Post Graduate Studies - Cambridge University 1961-1962
Ph.D. Honoris Causa (Humanities) - University of Texas 1977
POSITIONS HELD
Tanzania Permanent Representative to the United Nations - 1964-1966
Tanzanian Ambassador to Ethiopia and the OAU - 1967
Minister of Foreign Affairs - 1972-1973
Communication and Transport - 1973-1974
Mineral Resources and Agriculture 1975-1975
Minister in the East African Community - 1975-1976
Regional Commissioner of Iringa - 1980-1984
Member of the Group of Eminent Persons of the Commonwealth on South African situation - 1985
Tanzanian High Commissioner to the United Kingdom - 1989-90
Prime Minister and First Vice President 1990-1994
Vice Chairman of the ruling Party, Chama cha Mapinduzi (CCM) - 1995 to date
Member of Parliament for Mtera - 1990 to date