bibie salma moshi mwanamama bingwa wa kucheza na nyoka. kapotea siku hizi, wadau mnaojua aliko tustuane basi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Amezamia Marekani, anaishi Hyattsville, Maryland (USA) kazaa na kijana mmoja jina silikumbuki

    ReplyDelete
  2. Huyu bibie ni mchaga aliona kucheza na nyoka hakuingizi pesa kabisa akaona hawezi kuendelea na biashara kichaa kama hiyo. Akamtupa chini nyoka kwa hasira nyoka naye akapanda hasira akakimbilia porini akaapa hatarudi tena kwa huyo mama.biashara ikaishia hapo akamwacha huyo mama ale jeuri yake.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. Yasini manyoka ndilo jina lake.

    ReplyDelete
  5. Wachaga bana mi ndoo maana nawapenda wake kwa waume hawana cha bla bla wenyewe tu ni kwenye real things hata kama ni nyoka ili mradi pesa inaingia, haki ya nani tena Yesu na Maria!

    ReplyDelete
  6. Aliyemuoa ana roho kweli. Haya mambo ya kishetani. Huenda akamtolea mumewe nyoka siku moja.

    ReplyDelete
  7. Wachagga please stand up!
    Nothing but Kili and Nyama choma to get this ish started!
    Props to the lady with the snake,takes alot of guts to hold a bigass reptile like that right there.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...