Home
Unlabelled
nyoka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Amezamia Marekani, anaishi Hyattsville, Maryland (USA) kazaa na kijana mmoja jina silikumbuki
ReplyDeleteHuyu bibie ni mchaga aliona kucheza na nyoka hakuingizi pesa kabisa akaona hawezi kuendelea na biashara kichaa kama hiyo. Akamtupa chini nyoka kwa hasira nyoka naye akapanda hasira akakimbilia porini akaapa hatarudi tena kwa huyo mama.biashara ikaishia hapo akamwacha huyo mama ale jeuri yake.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteYasini manyoka ndilo jina lake.
ReplyDeleteWachaga bana mi ndoo maana nawapenda wake kwa waume hawana cha bla bla wenyewe tu ni kwenye real things hata kama ni nyoka ili mradi pesa inaingia, haki ya nani tena Yesu na Maria!
ReplyDeleteAliyemuoa ana roho kweli. Haya mambo ya kishetani. Huenda akamtolea mumewe nyoka siku moja.
ReplyDeleteWachagga please stand up!
ReplyDeleteNothing but Kili and Nyama choma to get this ish started!
Props to the lady with the snake,takes alot of guts to hold a bigass reptile like that right there.