omar, mjukuu wa bi. kidude, akicheza soka ufukweni mwa bahari wakati wa mchweo jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. Michuzi, kweli nakuaminia the way unavyogandisha sekunde!!! Hongera

    ReplyDelete
  3. hapa Michuzi ume-satisfy ule mwito wako wa kuwa PHOTOJOURNALIST.. kwa mara ya kwanza umeweka picha inayoonyesha ujuzi wa hali ya juu kama mpiga picha.. You've managed to capture the ESSENCE of a picture that is worth more than a million words!!!

    Am loving this one!! PK

    ReplyDelete
  4. Nice pic Michuzi!!! U r gud!!

    ReplyDelete
  5. wow!! unajua nimecheki picha ya kwanza lakini nikastuka nilidhani imechorwaa.....picha kali saaana.....itabidi nikishiriki shindano nikishinda unizawadie.

    ReplyDelete
  6. sijui ulibonyeza mara ngapi kuipata moja kama hii. heko!

    ReplyDelete
  7. Fucken good pict kabisa

    ReplyDelete
  8. hongera sana issa picha bab kubwa hii kweli wewe ni professional na ninaswali je ni kweli huyo mjuku wake wa damu bi kidude na je anao wana bi kidude? wadau naombeni msada wenu nijibuni au hata wewe issa tafadhali.shukran tena picha bab kubwa ee bwana eeeeh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...