Home
Unlabelled
patroo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yap big up mwema. Ila sijui kama hizo pikipiki siku hizi ni za bure au???... maana zilikuwa zinalipiwa hizo usipopeleka malipo juu next day hupewi....
ReplyDeleteMambo ya Ubungo- Posta au Kariakoo kaka haya
ReplyDeleteMichuzi asante kunikumbusha enzi zile nakaa pale Ubungo Hostel, tena kwa kuzamia. Nilikuwa nafanya maandalizi ya mitihani ya Utouh( CPA) kaka, halafu na mtihani ukanipiga chini vile vile
Nasikia hiki kikosi cha pikipiki kinaitwa TIGO, ni kweli???..
ReplyDeleteNini kiliwazuia Mahita na Adadi kuanzisha kikosi kama hiki wakati walipokuwa viongozi wa jeshi la polisi bongo??
ReplyDeleteKwa asilimia mia moja, Mahita na Adadi walikuwa wanahusika kwa kiasi kikubwa na uvunjifu wa amani na ujambazi uliokithiri hapo nyuma ktk nchi hii. leo Mwema kaingia na kuanzisha vikosi maalum na kuwatoa 'wapambe' wa Mahita na Adadi, nchi imetulia.
zamani ukiwa bar kubwa haupiti mda mnaambiwa lala chini..
hakuna bar kubwa hapa Dar ambayo haikuwahi kupata mshike mshike wa kuvamiwa.
zombe anashtakiwa hivi sasa, lakini naamini yeye ni kafara tu. kuna walio juu yake ndio waliokuwa aidha wanamtuma au kumlinda kwa namna moja au nyingine....
ITS OK MWEMAKAJITAHIDI LAKINI BADO UJAMBAZI UPO.JUZI TU JIRANI YANGU KAVAMIWA NA MAJAMBAZI KULE SEGEREA USIKU SAA 9, PAMOJA NAKUPIGA SIMU NYINGI SANA POLISI WALIKUJA ASUBUHI WAKATI KITUO CHA SITAKISAHARI NI KARIBU SANA.JAMAA WAWILI WALIKATWA MAPANGA SANA NA HADI LEO WAMELAZWA MUHIMBILI.
ReplyDeleteHawa hawan lolote. Vitisho na tu. Isitoshe wanalandalanda na kuwania mademu tu na pikipiki zao. Wakute maeneo ya Ubungo stand au Ubungo mwisho. Pia pale Latino. Utashangaa. Ni wahuni tu na hawana lolote.
ReplyDelete