patroo ya polisi siku hizi kali na imesaidia sana kupunguza ujambazi bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. yap big up mwema. Ila sijui kama hizo pikipiki siku hizi ni za bure au???... maana zilikuwa zinalipiwa hizo usipopeleka malipo juu next day hupewi....

    ReplyDelete
  2. Mambo ya Ubungo- Posta au Kariakoo kaka haya

    Michuzi asante kunikumbusha enzi zile nakaa pale Ubungo Hostel, tena kwa kuzamia. Nilikuwa nafanya maandalizi ya mitihani ya Utouh( CPA) kaka, halafu na mtihani ukanipiga chini vile vile

    ReplyDelete
  3. Nasikia hiki kikosi cha pikipiki kinaitwa TIGO, ni kweli???..

    ReplyDelete
  4. Nini kiliwazuia Mahita na Adadi kuanzisha kikosi kama hiki wakati walipokuwa viongozi wa jeshi la polisi bongo??

    Kwa asilimia mia moja, Mahita na Adadi walikuwa wanahusika kwa kiasi kikubwa na uvunjifu wa amani na ujambazi uliokithiri hapo nyuma ktk nchi hii. leo Mwema kaingia na kuanzisha vikosi maalum na kuwatoa 'wapambe' wa Mahita na Adadi, nchi imetulia.
    zamani ukiwa bar kubwa haupiti mda mnaambiwa lala chini..
    hakuna bar kubwa hapa Dar ambayo haikuwahi kupata mshike mshike wa kuvamiwa.
    zombe anashtakiwa hivi sasa, lakini naamini yeye ni kafara tu. kuna walio juu yake ndio waliokuwa aidha wanamtuma au kumlinda kwa namna moja au nyingine....

    ReplyDelete
  5. ITS OK MWEMAKAJITAHIDI LAKINI BADO UJAMBAZI UPO.JUZI TU JIRANI YANGU KAVAMIWA NA MAJAMBAZI KULE SEGEREA USIKU SAA 9, PAMOJA NAKUPIGA SIMU NYINGI SANA POLISI WALIKUJA ASUBUHI WAKATI KITUO CHA SITAKISAHARI NI KARIBU SANA.JAMAA WAWILI WALIKATWA MAPANGA SANA NA HADI LEO WAMELAZWA MUHIMBILI.

    ReplyDelete
  6. Hawa hawan lolote. Vitisho na tu. Isitoshe wanalandalanda na kuwania mademu tu na pikipiki zao. Wakute maeneo ya Ubungo stand au Ubungo mwisho. Pia pale Latino. Utashangaa. Ni wahuni tu na hawana lolote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...