mamodo wakimshangilia mbunifu mpya wa mavazi bongo ali rhemtullah baada ya bonge la shoo leo usiku movenpiki, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. Michuzi kama hii picha umepiga wewe nakupa hongera sana kwani hii ni moja kati ya picha nzuri sana kwa ubora zilizowahi kuwekwa hapa kwenye blogu yako.

    ReplyDelete
  3. Mamodel wenyewe mbona wamikuwanga wafupi hivyo? Kimo cha mbuzi!

    ReplyDelete
  4. Huyo model mweusi ni mzuri lakini hiyo nguo hata kwa bure siitaki. Ca juu kiko poa cha chini kina gagulo jeupe...why ...designer angetafuta hata light blue vile. kwasbabu hat akama ni nguo ya usiku inatakiwa rangi zimelt through each other

    ReplyDelete
  5. Hivi huyo waliyembeba hao mamodo ni mbunifu au mgonjwa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...