ama hakika bongo tumejaaliwa. angalia mto ruvu unavyoingia baharini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. si mchezo, na umetengeneza kisiwa mfano wa LOVE!!!

    ReplyDelete
  2. ktk jografia hii mandhari inaitwa 'miender'

    ReplyDelete
  3. Ni kweli lakini mbona matatizo ya maji na umeme hayaishi miaka nenda rudi!Bla bla na longolongo tu ndio nyingiii,kazi ulabu tuu!Ama kweli penye miti hapana wajenzi!

    ReplyDelete
  4. Michuzi mbona unarudia rudia picha? Noma mzee.

    ReplyDelete
  5. we anony 1:06:00pm uko very shallow kwenye geog. Kwanza hata kuandika meander kunashinda, lakini kumbuka meandering is the process ila feature ni ox-bow like. Rejea geog. ya form 4, na kama kitu hujui kaa kushoto

    ReplyDelete
  6. Kwa chini kidogo, (au downstream) kuna mangroves nyingi na nzuri sana. Ndani kuna species za miti ziitwazo Sonneratia alba, Lumnitzera racemosa, Rhizophora mucronata na zingine nyingi. Samaki wengi sana wanazaliana humo. Pia wanyama kama nyani, nguruwe na simba wanapumzika. Bongo tuna kila kitu kizuri. Tatizo ni namna ya kutumia tu. We anon Feb 20: 1:56 hapo juu unadai picha inaruidiwa? Hii picha ni nzuri sana, hata kama ukiwa nayo chumbani kwako, huichoki!

    ReplyDelete
  7. Anonymous wa Tuesday, February 20, 2007 7:38:00 PM, asante sana kwa kusahihisha kosa la spellings katika mtundiko wa anonymous wa Monday, February 19, 2007 1:06:00 PM ambaye kakosea spellings za neno “meander”. Lakini katika maelezo yako wewe pia umekosea kwa kuita madhari hiyo, “ox-bow.” Hakuna ox-bow katika picha hiyo.

    Kupinda pinda kwa mto huo kunaitwa meander. Kusema kweli, meander is both a process (the flow of the river) na a physical feature (landscape formed). When a river flows (the process) along a flood plain, tends to meander by taking the line of least resistance. The landscape formed, as the results of such river flowing process, makes a physical feature, kama picha hiyo inavyoonyesha.

    Landscape ya namna hiyo is never an ox-bow au horseshoe! Ox-bow ina maana ya feature when the river shifts its course and cuts off the former channel. The blocked or cut off portion of the river, ndiyo ox-bow au horseshoe.

    Sitaki kushauri, “Rejea geog. ya form 4, na kama kitu hujui kaa kushoto.”

    ReplyDelete
  8. Nakubaliana na maoni aliyeyatoa Darubini kuhusu na suala hiyo geographical feature ya meander; ukirejea physical geography ya o-level (form 3 na 4) maana mdau mmoja alimsahihisha mwenzake kuhusu spelling za meander wakati yeye anachemka anashindwa kujua tofauti ya meander na ox-bow lake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...