moja ya shule kongwe za` sekondari. wadau mliobukua hapo tukumbusheni jina lake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Hapo ni Zanaki Secondary School. Sikusoma hapo lakini nilikuwa na Rafiki anasoma hapo.

    ReplyDelete
  2. michuzi wacha zako pita pale azania kidogo babu..hizo shule za kichovu...usisahau pita kwenye mihogo na kibandani...azania uliwasambalatisha tambaza,,azajangwa milele

    ReplyDelete
  3. Azania hapo, watani wetu Tambaza

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  5. we azania watoto wa mama serikali yenyewe inajua, nadhani serikali iliona ni bora kubadilisha tamabaza ktk mfumo wa sasa ili kuidhibiti hali. I wish father kalumuna asinge staafu alikuwa anatutetea sana.

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  7. No Doubt!..Hapo ni Shaaban Robert Secondary School.Michuzi umenikumbusha miaka hiyooo nilipokuwa ninasoma hapo!

    ReplyDelete
  8. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  9. No doubt!... hapo ni Shaaban Robert Sec School, umenikumbusha enzi hizo nilipokuwa nasoma hapo

    ReplyDelete
  10. jamani shule za serikali hazina air conditions madarasani.

    ReplyDelete
  11. Michuzi hiyo ni SRSS, enzi zetu hiyo shule ilikua ya wajanja sio kama sasa hivi :-)

    ReplyDelete
  12. Hapo ni Zanaki Girls' Secondary School, no doubt nyie mnaosema azania mara shaabani robert hamna uhakika na mnachokinena.

    ReplyDelete
  13. Nani anakazania hapo ni Zanaki Sec School. Mie niliyesoma hapo hata sikuelewi. Au unafikiria jengo lilivyo wide ni kama lile la Zanaki Primary ambayo ipo kwenye compound moja na Zanaki Sec? Mie nilipoona tu Nilifikiria Shabaan Robert... By the way MICHUZI atatoa jibu later (I hope so)

    ReplyDelete
  14. Jamaani, hapo ni Shaaban Robert Secondary School, sio Zanaki wala Azania. Sijasoma hapo ila najua siku hiyo picha ilipochukuliwa. Hebu Michuzi waeleze kama hukuchukua hiyo picha tarehe 18 August, 2006. Halafu we mwenyewe unajiuliza nimejuaje. hehehe....

    ReplyDelete
  15. mimi nimesoma zanaki miaka 3 sijawahi kuona jengo kama hilo nyie mnaosema hapo ni zanaki sijui labda mmesoma mikoani, zanaki ni jengo moja tu ukiondoa labs, domestic building na yaliyokuwa mabweni labda bwana michuzi tusaisie tehe--tehe--tehe

    ReplyDelete
  16. Jamani jamani jamani.. Shaaban Robert Secondary School hapo.. Aliyepiga picha nyuma yake kuna jengo lile 'jipya' ambalo linatumika kama hall/theatre sshv (halikuwepo enzi zangu, tulikuwa tuna uwanja wa mpira)

    ReplyDelete
  17. Hapo ni Shebby High Skool.Nakumbuka Enzi hizoooooooooooooooooo!TEna hapo inapoonekana A/c ni AVC room

    ReplyDelete
  18. Hiyo ni SRSS, enzi hizo kulikuwa na macheck bob na vimwana au macheck sister wakukata na shoka, shule ilikuwa inapendeza sana na mabingwa wa kuruka majoka pia walikuwapo hapo SRSS. Duuh, miaka inakimbia kweli kweli.

    ReplyDelete
  19. Shabaan Robert U suckers...

    ReplyDelete
  20. Shebby Robby

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 23, 2007

    we ni mshamba sana , unatengenezewa codes na wanaume halafu unaandika eti copy right 2002006 na ISA MICHUDHI. Koma kabisa maana hujui walioterngeneza hizo codes

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...