mitambo ya kuzalisha umeme ubungo. hali ya umeme sasa ni tambarare...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. tusubiri kiangazi,tutarudi palepale...

    ReplyDelete
  2. Sasa mnataka watu wafe zaidi, air pollution kutokana moshi hapo ndo utakuwa balaa kwa wananchi waishio maeneo hayo. Je sasa hivi kuna sytem ya wananchi kukataa majengo au viwanda kujengwa katika maeeneo wanayoishi au??

    ReplyDelete
  3. Sawa umeme tambarare; lakini je tunafikiria afya za wenzetu wanaoishi maeneo hayo? Juzi nimepita hapo karibu kabisa kuna ile mitambo ya Aggreko, yaani hilo eneo ni kiama!!!! Kwanza kabisa makelele yaliyopo eneo hilo sababu ya hizo mashine ni kubwa sana kwa makazi ya watu, Pili, Kuna Joto kali na harufu ya Gesi iliyotanda maeneo hayo. Huku sinza tukilalamika joto, wenzetu hawa wanateketea manake hata feni zinazungusha joto tu sasa. Tatu kuna matenki matano makubwa ya mafuta ya petroli eneo hilo. Hivi kweli serikali yetu inatufikiria sisi wananchi wake kwa undani au ni basi tu umeme unahitajika unabwagwa popote? Kwa kweli ni eneo la hatari sana nadhani kila kukicha wakazi wa hapa wanamshukuru Mungu wao!!!! Hii mitambo ningeomba iangaliwe upya mana ni hatari sana kwa wakazi wa maeneo hayo. Yawezekana wanafuga magonjwa ya baadae hapo na wote hapo ni wa hali ya chini wataishia Mwananyamala Hosp ambako hakuna vipimo vya uhakika wakati wengine wakiende Agkhn na vitengo vikubwa Muhi2 na kwingineko mpaka ulaya!!!

    ReplyDelete
  4. Beware of CO2 emissions! Ozone layer is in real danger!

    Can you bring us pictures for IPTL plant(s); I think its case is even worse!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...