Home
Unlabelled
ubungo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tusubiri kiangazi,tutarudi palepale...
ReplyDeleteSasa mnataka watu wafe zaidi, air pollution kutokana moshi hapo ndo utakuwa balaa kwa wananchi waishio maeneo hayo. Je sasa hivi kuna sytem ya wananchi kukataa majengo au viwanda kujengwa katika maeeneo wanayoishi au??
ReplyDeleteSawa umeme tambarare; lakini je tunafikiria afya za wenzetu wanaoishi maeneo hayo? Juzi nimepita hapo karibu kabisa kuna ile mitambo ya Aggreko, yaani hilo eneo ni kiama!!!! Kwanza kabisa makelele yaliyopo eneo hilo sababu ya hizo mashine ni kubwa sana kwa makazi ya watu, Pili, Kuna Joto kali na harufu ya Gesi iliyotanda maeneo hayo. Huku sinza tukilalamika joto, wenzetu hawa wanateketea manake hata feni zinazungusha joto tu sasa. Tatu kuna matenki matano makubwa ya mafuta ya petroli eneo hilo. Hivi kweli serikali yetu inatufikiria sisi wananchi wake kwa undani au ni basi tu umeme unahitajika unabwagwa popote? Kwa kweli ni eneo la hatari sana nadhani kila kukicha wakazi wa hapa wanamshukuru Mungu wao!!!! Hii mitambo ningeomba iangaliwe upya mana ni hatari sana kwa wakazi wa maeneo hayo. Yawezekana wanafuga magonjwa ya baadae hapo na wote hapo ni wa hali ya chini wataishia Mwananyamala Hosp ambako hakuna vipimo vya uhakika wakati wengine wakiende Agkhn na vitengo vikubwa Muhi2 na kwingineko mpaka ulaya!!!
ReplyDeleteBeware of CO2 emissions! Ozone layer is in real danger!
ReplyDeleteCan you bring us pictures for IPTL plant(s); I think its case is even worse!!!!!!