jana siku ya wapendanao niliamua kujipenda mwenyewe kwa kujipa kaholidei mshenzi huko kendwa bichi kaskazini ya zenj na kupumzika. nitakuwa huku hadi jumatatu. tatizo mtandao iz not richebo kwa sana ndo maana siku nzima jana nilikuwa na kigugumizi....halahala wadau waosha vinywa msianze kuosha vinywa vyenu- huyo aliyelala jirani wala hatuhusiani na kila mtu yuko kivyake.
Home
Unlabelled
valentino
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Long live Carlsberg beer!
ReplyDeletePaparazi Paparized...
ReplyDeleteMichuzi, Kivuli cha mpiga picha kinatoa 'clue' ya ni mtu wa aina gani kaku-photoa...
si useme ulikuwa na 'My Wife' wangu zenj kwa ajili ya valentine!!!...
Mjomba Michu mbona unajihami sana, vp??
ReplyDeleteHa hah haaa! Issa mbona unatufanya siye wote ni watoto? Huyo uliyekuwa una-share naye hicho kitanda yupo wapi? Inaonekana mlikuwa wawili kwani wewe umelala kwenye kona na kuacha nafasi ya mtu mzima pembeni. Sema yupo wapi?
ReplyDeleteIssa, mbona unajiwahi? hamna neno ili mradi tu wife asijue
ReplyDeleteUnatuchokoza mwenyewe kaka misupu tukisema ooh tunasema, lakini ni kweli kazi na daw unapiga mzigo na kupumzka bwana na kujipenda mwenyewe ndio msingi wa upendo duniani
ReplyDeleteKuna m-mexico mmoja aliniambia, akipumzika kwenye hiyo kitu, hata akimuona n'ge "scorpion" anamsogelea kwenye kiwiliwili chake hanyanyuki bali anamuomba aliye jirani aje amtoe, kwa jinsi ilivyo raha kubembea humo. Wengi hung'atwa na ng'e kwa mtindo huu.
ReplyDeletemichuzi unatuibia, mbona naoma kibinti cha kizungu pembeni yako hapoooo....Kivuzy - India
ReplyDeletemichuzi unaonekana pia umechoka ile kimahaba ,i can tell your valentine was superb
ReplyDeleteLondon unakuja au?
ReplyDeletetunakusubiri kwa hamu tukuonyeshe kuwa siyo kila aliyepo hapa ana kaa kwenye council flat au hajui kuvaa au Lesbian
Michuzi tunaomba tuwekee picha za Bongo star search Final!wengine tuko mbali,tungependa tupate uhondo wa picha.Hongera kwa kazi yako
ReplyDeleteDu, hiyo hammock inahitaji kaufundi kuiparamia, maana kama hujui namna ya kupanda, utajikuta chini. Inshantokea mie!!
ReplyDelete