jana siku ya wapendanao niliamua kujipenda mwenyewe kwa kujipa kaholidei mshenzi huko kendwa bichi kaskazini ya zenj na kupumzika. nitakuwa huku hadi jumatatu. tatizo mtandao iz not richebo kwa sana ndo maana siku nzima jana nilikuwa na kigugumizi....halahala wadau waosha vinywa msianze kuosha vinywa vyenu- huyo aliyelala jirani wala hatuhusiani na kila mtu yuko kivyake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Long live Carlsberg beer!

    ReplyDelete
  2. Paparazi Paparized...

    Michuzi, Kivuli cha mpiga picha kinatoa 'clue' ya ni mtu wa aina gani kaku-photoa...

    si useme ulikuwa na 'My Wife' wangu zenj kwa ajili ya valentine!!!...

    ReplyDelete
  3. Mjomba Michu mbona unajihami sana, vp??

    ReplyDelete
  4. Ha hah haaa! Issa mbona unatufanya siye wote ni watoto? Huyo uliyekuwa una-share naye hicho kitanda yupo wapi? Inaonekana mlikuwa wawili kwani wewe umelala kwenye kona na kuacha nafasi ya mtu mzima pembeni. Sema yupo wapi?

    ReplyDelete
  5. Issa, mbona unajiwahi? hamna neno ili mradi tu wife asijue

    ReplyDelete
  6. Unatuchokoza mwenyewe kaka misupu tukisema ooh tunasema, lakini ni kweli kazi na daw unapiga mzigo na kupumzka bwana na kujipenda mwenyewe ndio msingi wa upendo duniani

    ReplyDelete
  7. Kuna m-mexico mmoja aliniambia, akipumzika kwenye hiyo kitu, hata akimuona n'ge "scorpion" anamsogelea kwenye kiwiliwili chake hanyanyuki bali anamuomba aliye jirani aje amtoe, kwa jinsi ilivyo raha kubembea humo. Wengi hung'atwa na ng'e kwa mtindo huu.

    ReplyDelete
  8. michuzi unatuibia, mbona naoma kibinti cha kizungu pembeni yako hapoooo....Kivuzy - India

    ReplyDelete
  9. michuzi unaonekana pia umechoka ile kimahaba ,i can tell your valentine was superb

    ReplyDelete
  10. London unakuja au?

    tunakusubiri kwa hamu tukuonyeshe kuwa siyo kila aliyepo hapa ana kaa kwenye council flat au hajui kuvaa au Lesbian

    ReplyDelete
  11. Michuzi tunaomba tuwekee picha za Bongo star search Final!wengine tuko mbali,tungependa tupate uhondo wa picha.Hongera kwa kazi yako

    ReplyDelete
  12. Du, hiyo hammock inahitaji kaufundi kuiparamia, maana kama hujui namna ya kupanda, utajikuta chini. Inshantokea mie!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...