ma dj paul macgheee na mr a wa new vision 2000 discotheque wakiwa ushirika club ama maggot

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kama weee michuzi ni wa enzi hizo mbona picha za BEACH PARTIES za msasani beach hujaziposti?

    au hukuwepo mjini enzi hizo mazungu na ma baharia kama akina MARVIN walikuwa wakitua basi dar nzima kila star alikuwa anapata raba ULAYA na GURUWE

    michuzi wakumbushe hawa watoto waliojazana kwenye hii blog yako

    ReplyDelete
  2. Michuzi sasa huyu ndiye Abdoul Shalamar Original wa Bongo!enzi hizoooo 1980's

    ReplyDelete
  3. Mr A alikuwa Ahmed na sio Shalamar(Michuzi nisahihishe kama nimekosea)....Huyu for a long time alikuwa aki-Dj na Tito.
    Michuzi Paul yupo wapi sasa hivi?

    ReplyDelete
  4. Hapana kaka, huyu sio Shalamar. huyu ni Ahmed Travolta. Enzi hizo za kale ni miongoni mwa vijana ambao wameweka standard hapo Bongo.

    Leo tunakata viuno na Melody Wachaaaaa weeeee.

    Michuzi lete zingine za hao vijana tafadhali

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...