Home
Unlabelled
ashakhum
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kinshasa,Congo DRC.
ReplyDeleteKinshasa,Congo DRC.
ReplyDeleteKaka Michuzi naamini hapo ni ndani ya Kinshasa tosha ya Jamhuri ya Kidemokrati ya Kongo. Basi ukiwa kwenye mji wa chongo nawe kuwa chongo hivyo sasa hapo tena maneno inabidi uyatamke bila ashakum.
ReplyDeleteKaka Michuzi sasa naleta malalamiko yangu kwako. Katika siku chache zilizopita mwenzetu mmoja alitukumbusha enzi kwa kuandika kuhusu maisha miaka ya nyuma nami nikafunga badonkadonka langu kibwebwe ili nijimwage kwenye ulingo kutoa maoni. Nilikuwa mtu wa mwanzo maana hakukuwa na maoni ya wengine. Sasa najiuliza nilikosea kipi au ule ung'weng'we niliotumia? Lakini jamaa naye alijimwaga king'weng'we na maoni yangu nilipinga kwamba muandishi si Mghana maana Ghana na kachori... wapi na wapi? Kaka Michuzi kama ulipokuja Bukoba hatukukupokea vizuri basi mezea tartibu ukizidi kukaa na donge utakwamwa .
ReplyDeleteHapo ni Mavuzi.
ReplyDeletePapaa hapo ni Kinshasha
ReplyDeleteKinshasa DRC
ReplyDeletekwa JK [Joseph Kabila]
Again very simple kwa kuwa mi naishi Kinshasa bwana Michuzi... yaani piga ua hapo ni Kinshasa DRC kama unabisha nitakwenda kupiga picha nikiwa nimesimama mbele ya hilo bango.
ReplyDeleteNipe zawadi yangu
Michuzi we unatoka kabisa hint, hilo gari la jeshi hapo nyuma linaashiria kila kitu. hapo ni Zaire aka DR of Congo.
ReplyDeletej4watson@yahoo.com
kinshasa.jamuhuri ya congo (drc)
ReplyDeleteWote mmekosea Bujumbura hapo.
ReplyDeletekwako
ReplyDeletedada Fran
kumbe we wakwetu siyo?
wow big up kaka Michuzi
tunaanza pata watoka kwetu lol!
Olinkaa mwana wa mae?
Nauliza tu sis langu.
Nifahamishe nijidai
Duuu, huyu muhaya tena kaona haitoshi kuongea kiswahili, lazima mdomo wake umwagike kwa ungambira stupid infront of my wife. Kaka acha hizo za kutugawa wabongo, bonga kiswahili.
ReplyDeletehapo ni mitaa ya menge,ila siwezi elezea ni sehemu gani.
ReplyDeletehapo ni mitaa ya mwenge ila siwezi elezea ni mwenge ipi.BY MANYUNYU
ReplyDeleteHapo ni Kinshasa, DRC eneo la Commune ya Ngiringiri karibu na Round about Molari barabara ya kwenda Selembau imepakana na Bandalungwa. Kazi kwako Chuzi!! nipe zawadi yangu.
ReplyDeletemichuz unaanza kututukana? wahaya woote mwasiibamutai? karibu kwenye blog yeetu! yoomukai
ReplyDeleteweee Tonton umechemka iko jirani na eneo la "Vitour" ambako raia huwa hawalali na ni jirani na kambi ambapo Papaa Wemba na Mopao Mokonzi huwa wanajifua. Jana nilipita hapo Galerie Mavuzi, kwa mbele kidogo kulikuwa na concert "kabambi" ya Fali Ipupa chini ya udhamini wa bia maridadi ya Skol.
ReplyDeleteMichuzi nitangaze mshindi basi fasta.
Na ukienda Japana utablow.
ReplyDeleteKuna mji unaitwa Kumamoto na kuna watu wanaitwa Takauchi! Na kuna majina mengi yanafanana na ya Bongo kama Maeda!
Nimesoma habari juu ya Zimbabwe, kama ifuatavyo:
ReplyDeleteRashweat Mukundu, a media committee member of the Save Zimbabwe coalition, accused the government of preventing people from leaving the country to servre its own ends.
Huyo bwana anaitwa mukundu!
Kuna mwandishi mmoja hapa tanzania aliwahi kumpiga picha mchezaji MBO MPENZA wa ubelgiji (nadhani) lakini mwenye asili ya Congo akiwa ndani ya uwanja wa Kumamoto kula Japan. Sasa yeye pale juu kwenye kichwa cha picha hiyo akaandika hivi MBO NDANI YA KUMAMOTO, basi palikuwa hapatoshi darasani siku hiyo. Hiyo ilipigwa wakati wa mashindano ya kombe la dunia kula Japan/Korea
ReplyDelete