wadau, ashakhum si matusi. lakini ndo hivyo tena. zawadi itatolewa kwa yeyote atayetaja ni wapi hapa. mstari mfu ni jumapili saa sita usiku....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Kinshasa,Congo DRC.

    ReplyDelete
  2. Kinshasa,Congo DRC.

    ReplyDelete
  3. Kaka Michuzi naamini hapo ni ndani ya Kinshasa tosha ya Jamhuri ya Kidemokrati ya Kongo. Basi ukiwa kwenye mji wa chongo nawe kuwa chongo hivyo sasa hapo tena maneno inabidi uyatamke bila ashakum.

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi sasa naleta malalamiko yangu kwako. Katika siku chache zilizopita mwenzetu mmoja alitukumbusha enzi kwa kuandika kuhusu maisha miaka ya nyuma nami nikafunga badonkadonka langu kibwebwe ili nijimwage kwenye ulingo kutoa maoni. Nilikuwa mtu wa mwanzo maana hakukuwa na maoni ya wengine. Sasa najiuliza nilikosea kipi au ule ung'weng'we niliotumia? Lakini jamaa naye alijimwaga king'weng'we na maoni yangu nilipinga kwamba muandishi si Mghana maana Ghana na kachori... wapi na wapi? Kaka Michuzi kama ulipokuja Bukoba hatukukupokea vizuri basi mezea tartibu ukizidi kukaa na donge utakwamwa .

    ReplyDelete
  5. Papaa hapo ni Kinshasha

    ReplyDelete
  6. Kinshasa DRC
    kwa JK [Joseph Kabila]

    ReplyDelete
  7. Again very simple kwa kuwa mi naishi Kinshasa bwana Michuzi... yaani piga ua hapo ni Kinshasa DRC kama unabisha nitakwenda kupiga picha nikiwa nimesimama mbele ya hilo bango.

    Nipe zawadi yangu

    ReplyDelete
  8. Michuzi we unatoka kabisa hint, hilo gari la jeshi hapo nyuma linaashiria kila kitu. hapo ni Zaire aka DR of Congo.
    j4watson@yahoo.com

    ReplyDelete
  9. kinshasa.jamuhuri ya congo (drc)

    ReplyDelete
  10. Wote mmekosea Bujumbura hapo.

    ReplyDelete
  11. kwako
    dada Fran


    kumbe we wakwetu siyo?

    wow big up kaka Michuzi
    tunaanza pata watoka kwetu lol!

    Olinkaa mwana wa mae?
    Nauliza tu sis langu.
    Nifahamishe nijidai

    ReplyDelete
  12. Duuu, huyu muhaya tena kaona haitoshi kuongea kiswahili, lazima mdomo wake umwagike kwa ungambira stupid infront of my wife. Kaka acha hizo za kutugawa wabongo, bonga kiswahili.

    ReplyDelete
  13. hapo ni mitaa ya menge,ila siwezi elezea ni sehemu gani.

    ReplyDelete
  14. hapo ni mitaa ya mwenge ila siwezi elezea ni mwenge ipi.BY MANYUNYU

    ReplyDelete
  15. Hapo ni Kinshasa, DRC eneo la Commune ya Ngiringiri karibu na Round about Molari barabara ya kwenda Selembau imepakana na Bandalungwa. Kazi kwako Chuzi!! nipe zawadi yangu.

    ReplyDelete
  16. michuz unaanza kututukana? wahaya woote mwasiibamutai? karibu kwenye blog yeetu! yoomukai

    ReplyDelete
  17. weee Tonton umechemka iko jirani na eneo la "Vitour" ambako raia huwa hawalali na ni jirani na kambi ambapo Papaa Wemba na Mopao Mokonzi huwa wanajifua. Jana nilipita hapo Galerie Mavuzi, kwa mbele kidogo kulikuwa na concert "kabambi" ya Fali Ipupa chini ya udhamini wa bia maridadi ya Skol.

    Michuzi nitangaze mshindi basi fasta.

    ReplyDelete
  18. Na ukienda Japana utablow.

    Kuna mji unaitwa Kumamoto na kuna watu wanaitwa Takauchi! Na kuna majina mengi yanafanana na ya Bongo kama Maeda!

    ReplyDelete
  19. Nimesoma habari juu ya Zimbabwe, kama ifuatavyo:

    Rashweat Mukundu, a media committee member of the Save Zimbabwe coalition, accused the government of preventing people from leaving the country to servre its own ends.

    Huyo bwana anaitwa mukundu!

    ReplyDelete
  20. Kuna mwandishi mmoja hapa tanzania aliwahi kumpiga picha mchezaji MBO MPENZA wa ubelgiji (nadhani) lakini mwenye asili ya Congo akiwa ndani ya uwanja wa Kumamoto kula Japan. Sasa yeye pale juu kwenye kichwa cha picha hiyo akaandika hivi MBO NDANI YA KUMAMOTO, basi palikuwa hapatoshi darasani siku hiyo. Hiyo ilipigwa wakati wa mashindano ya kombe la dunia kula Japan/Korea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...