
kundi la ba cissoko toka conakry, guinea, likitumbuiza jana usiku ukumbi wa jubilei ya almasi kwenye shoo ya kusherehekea wiki ya francophone iliyoanza machi 15 kwa shughuli mbalimbali chini ya kituo cha utamaduni cha ufaransa dar. hizo wanazopiga ni zana za muziki maarufu za afrika magharibi ziitwao kora ambapo wamatumbi twaziita zeze
watu wanasherehekea kutawaliwa na kuuliwa kwa lugha zao na kupewa ya kigeni!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete