Home
Unlabelled
sir nature
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mtu unajikuna unapofikia, poa mwanangu Nature, chako chako cha mtu mavi. achana na wazushi, wewe wanaandike BABA YAKO ANALO au wewe UNALO
ReplyDeletendio mwanangu nature hayo ndio makamuzi ya nguvu maana kila mtu anajikuna anapofikia...umejaribu sana na sasa mwendo wa mbele tuu
ReplyDeletemjomba misoup cheza fair japo kidogo m2 we2, nimeona umempa shavu sir nature hapo na mnyama wake japo wa kilongi ila sio issue kuku nikuku tu jogoo jina, ila vipi kina lady jay dee, k lyn, mwna fa, ferous, ray c..............
ReplyDeletemichuzi nawewe tuonyeshe baisikeli yako basi
ReplyDeletemichuzi huu mkweche unaaharibu mazingira huko bongo, wazungu wanasema if you want to eat a toad find a juicy one! sasa huyu jamaa anaendesha gari ya karne ilopita bora tu ni benz
ReplyDeleteduh, babu nawe una matusi kumbe.
ReplyDeletehiyo phantom ya enzi ya mze kawawa babdo kijana,ulaya classic ,nyumbani mtama kwa totoz sio.
Haya magari mengine bei umeweka mbaona hili na Sir.Nautre bei hakuna?Adometer ya hiyo gari kwanza inasomaje.
ReplyDeleteKamua Sir Nature.
Hii panton ya nani tena?
ReplyDeleteDuuh hili kuti kavu kuanguka si ajabu.
ReplyDeleteAisee ili gari linanikumbusha enzi za Tanu hata mzee kawawa alikuwa nalo.
ReplyDeletedu!!!!!hiyo ngoma imepauka kama muhogo wa kukausha ni noma na huyu jamaa anatunza mazingira na hilo karandinga la 1700 karne tatu zilizopita?/au tmk ndio yamefika sasa??
ReplyDeleteMichuzi hii gari ya Nature tupe bei na mode.Huyu jama heri angekua na RAV4 hii sio benz bali ni kivyez
ReplyDeleteHII BENZ MODEL HII HUKU LEBANON NDIO ZINATUMIKA KAMA DALADALA KWA MAELEZO ZAIDI NIPIGIE NIPO BEIRUT +961311352
ReplyDeleteHuku Jamaica Mabenzi kama hilo wanatembelea mashoga.
ReplyDeleteduh gari ka behewa la treni ya kati, haki ya nani nisingeona ngao ya benzi nisingejua kama hili ni gari soo kofyuzingi
ReplyDeleteMichuzi mbona gari za wasanii wengine hutuwekei?tuwekee basi na Jeep ya feruzi.
ReplyDelete