benz
655 rand plus 20% kodi and 70% transportation from sauzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Mtu unajikuna unapofikia, poa mwanangu Nature, chako chako cha mtu mavi. achana na wazushi, wewe wanaandike BABA YAKO ANALO au wewe UNALO

    ReplyDelete
  2. ndio mwanangu nature hayo ndio makamuzi ya nguvu maana kila mtu anajikuna anapofikia...umejaribu sana na sasa mwendo wa mbele tuu

    ReplyDelete
  3. mjomba misoup cheza fair japo kidogo m2 we2, nimeona umempa shavu sir nature hapo na mnyama wake japo wa kilongi ila sio issue kuku nikuku tu jogoo jina, ila vipi kina lady jay dee, k lyn, mwna fa, ferous, ray c..............

    ReplyDelete
  4. michuzi nawewe tuonyeshe baisikeli yako basi

    ReplyDelete
  5. michuzi huu mkweche unaaharibu mazingira huko bongo, wazungu wanasema if you want to eat a toad find a juicy one! sasa huyu jamaa anaendesha gari ya karne ilopita bora tu ni benz

    ReplyDelete
  6. duh, babu nawe una matusi kumbe.
    hiyo phantom ya enzi ya mze kawawa babdo kijana,ulaya classic ,nyumbani mtama kwa totoz sio.

    ReplyDelete
  7. Haya magari mengine bei umeweka mbaona hili na Sir.Nautre bei hakuna?Adometer ya hiyo gari kwanza inasomaje.
    Kamua Sir Nature.

    ReplyDelete
  8. Hii panton ya nani tena?

    ReplyDelete
  9. Duuh hili kuti kavu kuanguka si ajabu.

    ReplyDelete
  10. Aisee ili gari linanikumbusha enzi za Tanu hata mzee kawawa alikuwa nalo.

    ReplyDelete
  11. du!!!!!hiyo ngoma imepauka kama muhogo wa kukausha ni noma na huyu jamaa anatunza mazingira na hilo karandinga la 1700 karne tatu zilizopita?/au tmk ndio yamefika sasa??

    ReplyDelete
  12. Michuzi hii gari ya Nature tupe bei na mode.Huyu jama heri angekua na RAV4 hii sio benz bali ni kivyez

    ReplyDelete
  13. HII BENZ MODEL HII HUKU LEBANON NDIO ZINATUMIKA KAMA DALADALA KWA MAELEZO ZAIDI NIPIGIE NIPO BEIRUT +961311352

    ReplyDelete
  14. Huku Jamaica Mabenzi kama hilo wanatembelea mashoga.

    ReplyDelete
  15. duh gari ka behewa la treni ya kati, haki ya nani nisingeona ngao ya benzi nisingejua kama hili ni gari soo kofyuzingi

    ReplyDelete
  16. Michuzi mbona gari za wasanii wengine hutuwekei?tuwekee basi na Jeep ya feruzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...